Naomba muongozo wa matumizi ya dawa za jamii ya viagra

dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
9,593
7,875
Wakuu mimi nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu. Nimejaribu kutumia dawa nyingi sana za kienyeji pamoja na vyakula bila ya mafanikio.

NImejaribu kutumia vumbi la congo pia limenitupa mkono.

Sasa nimebakisha mawili tu. Nimenza mazoezi takriban wiki ya pili sasa na naendelea nayo lakini bado hukuna dalili yoyote ila sitegemei kuacha.

Na la mwisho ni kujaribu kutumia hizi dawa mana hali imekua mbaya kijamii, heshima yangu ipo kwenye lowest point kabisa.

Naomba muongozo na effect zake niweze kuzielewa kabisa.

Nimekua na wasiwasi mkubwa juu hizi dawa mana nimeshasikia sana mitaani kama zishaua watu, na ndiomana mpaka leo bado nimekua nasitasita.
 
Pole mkuuu sikushauri kutumia viagra coz utakuwa teja . Yaan tegemez cha msingi cheki kama una matatizo mengine ya afya kama presha na kisukari na piga sana tizi hasa running na weight kidogo maji mengi na matunda punguza wanga na ongeza protein
 
Pole mkuuu sikushauri kutumia viagra coz utakuwa teja . Yaan tegemez cha msingi cheki kama una matatizo mengine ya afya kama presha na kisukari .na piga sana tizi hasa running na weight kidogo maji mengi na matunda punguza wanga na ongeza protein
Mkuu hiyo miko ya kula nishajitahidi sana bila ya matokeo. Hali yangu ni mbaya sana akili inakosa la kuwaza kabisa
 
mkuu hiyo miko ya kula nishajitahidi sana bila ya matokeo. Hali yangu ni mbaya sana akili inakosa la kuwaza kabisa
Acha kuwasikiliza wahuni na matapeli wa mitaani wanaojifanya wanajua kila kitu.

Kama Wazungu waanzilishi wa elimu wamepitisha jua kuwa hiyo dawa haina madhara.

Matumizi kupita kiasi ndio huleta madhara. Hata maji ukinywa hovyo yanakuua silence.

Viagra ni salama kuliko uchafu wa Kongo
 
Pole sana Mkuu, ila kama bado unafunga magoli ya kidhulumishi (goli la mkono) au kukodolea sana yale mambo yetu acha, baada ya miezi kadhaa utakua kama superman. likewise, icho kiungo kama akifanyishwi mazoezi kwa muda mrefu hukataga tamaa na kususa.
 
Mkuu masuala ya mkono ni mambo ya utoto Zaidi ya miaka 12 nyuma nimeshaachana nayo. Hali ni mbaya sana mpaka nafika kutaka kuingia huku
 
Naumba kufahamu utaratibuu wa kutumia, pamoja kujua na side effect zinazoweza kujitokeza pamoja na njia za kuzikabili
 
Unaposema una upungufu wa nguvu za kiume una maanisha nini hasa?

1. Dudu la yuyu halisimami?
2. Linasimama ila linakuwa legelege linashindwa kuzama kwenye pango la amboni?
3. Linasimama ila ndani ya sekunde ukiingia pangoni wazungu wanatoka na unashindwa kurudia?
4.Linasimama ila likiingia pangoni au katikati ya mechi linalala doro?
5...................................................................................................?
6...................................................................................................?
 
  • Linasimama ila linakua legelege hata uingiaji wake ni watubu kidogo
  • Na ndani ya sekunde 5 - 10 wazungu wanatoka, naweza kurudia lakini baada ya muda mrefu kidogo ila nayo ni pia akiingia tu ndani ya sekunde 5 - 10 wazungu wanatoka.
 
Mzee yaani na raundi unarudia?

Na unahisi hapo ulipofikia dawa ni viagra? Mi siamini kama hilo ndiyo suluhisho kuu naona uko fine, ni ishu ya akili zaidi.

Kama una matatizo ya moyo au bp viagra inaweza pelekea kifo. Kama unaona ni lazima kutumia nenda hospitali ili uandikiwe baada ya kupimwa.

Ila mimi ningekua wewe ningestick na mazoezi (weight lifting), matikiti, kupumzika na maji ya kutosha.
 
Pole mkuuu sikushauri kutumia viagra coz utakuwa teja . Yaan tegemez cha msingi cheki kama una matatizo mengine ya afya kama presha na kisukari na piga sana tizi hasa running na weight kidogo maji mengi na matunda punguza wanga na ongeza protein
vizuri asisahau kurelax maana mawazo ndo yanaongeza tatizo unakuta kama ukiliona tatizo sio kubwa unaeza kwenda hata dakika tano ila kwa sababu unakuwa na mawazo unakuta hata dakika humalizi
 
  • Linasimama ila linakua legelege hata uingiaji wake ni watubu kidogo
  • Na ndani ya sekunde 5 - 10 wazungu wanatoka, naweza kurudia lakini baada ya muda mrefu kidogo ila nayo ni pia akiingia tu ndani ya sekunde 5 - 10 wazungu wanatoka.

Wewe una tatizo la kisaikolojia zaidi na sio tatizo la kimwili....nakushauri achana na dawa tafuta mwanamke utakaemwamini uwe muwazi kwake umuombe akusaidie kuovercome hilo tatizo
 
  • Linasimama ila linakua legelege hata uingiaji wake ni watubu kidogo
  • Na ndani ya sekunde 5 - 10 wazungu wanatoka, naweza kurudia lakini baada ya muda mrefu kidogo ila nayo ni pia akiingia tu ndani ya sekunde 5 - 10 wazungu wanatoka.

Mkuu nilicho_NOTE wala hauna upungufu wa nguvu za kiume ila ni unajilazimisha kufanya mapenzi,tambua mwili unamawasiliano na ubongo,mwili ukiwa umechoka hata brain nayo kuamsha hisia za kudo inakuwa ngumu na hivyo hata kupeleka damu kwenye dudu la yuyu inakuwa chache.

Wewe una low libido ,jitahidi kula vyakula vya kuongeza libido ,halafu jipe muda wa kufanya mchezo sio kila siku unafanya tu,fanya mazoezi ya viungo kwa sana/kutembea ,kunywa maji mengi ,kula matikiti ,kula nyama/mayai hata mara moja kwa wiki,tafuna mbegu za maboga,pia pata muda wa kupumzika/kulala.

Fanya hivyo utakuja kunishukuru baadae ,achana na mavumbi ya kongo au viagra vitazidi kukupa stress!!
 
Pole sana Mkuu, ila kama bado unafunga magoli ya kidhulumishi (goli la mkono) au kukodolea sana yale mambo yetu acha, baada ya miezi kadhaa utakua kama superman. likewise, icho kiungo kama akifanyishwi mazoezi kwa muda mrefu hukataga tamaa na kususa.
Kumbe kinakuwa na tabia za kususia vyakula?
 
  • Linasimama ila linakua legelege hata uingiaji wake ni watubu kidogo
  • Na ndani ya sekunde 5 - 10 wazungu wanatoka, naweza kurudia lakini baada ya muda mrefu kidogo ila nayo ni pia akiingia tu ndani ya sekunde 5 - 10 wazungu wanatoka.
Jaribu kufanya ukiwa unajisikia hamu ya haja ndogo (mkojo aka urine), pili ukiwa unafanya na kuhisi kutaka kutos wazngu toa au jifinye ili kuhamisha hisia... pia usifanye kama unahis njaa. Mwisho tumia asali kijiko kimoja dak kama 1 au 2 kabla ya kuanza...

Mwisho kbs usikubali kufanya michezo ya kabla ya tendo kwa muda mrefu kupitiliza ikibidi mchezee wewe lakini yeye usimpe sana nafac lasivyo mwil wako utakuwa mwpes kupokea hisia.

Jarbu vitu hivi lakini sio lazima vyote uvizingatie kwa wakati mmoja... ukiona ulete mrejesho tafadhali. Na kwa wengine pia. Ahsante
 
  • Linasimama ila linakua legelege hata uingiaji wake ni watubu kidogo
  • Na ndani ya sekunde 5 - 10 wazungu wanatoka, naweza kurudia lakini baada ya muda mrefu kidogo ila nayo ni pia akiingia tu ndani ya sekunde 5 - 10 wazungu wanatoka.
Pole Mimi si mwanaume Ila utakuwa umeathirika kisaikolojia, acha kuangalia porn, fanya mazoezi, eat balanced diet, relax ondoa mfadhaiko utarudi normal achana na hzo Viagra pia usisahau kusali maana hilo janga linawasumbua wanaume wengi
 
Back
Top Bottom