Na crome inapatikana googleKwa context ya maelezo yako. Google ni search engine, na chrome ni browser. So ukitumia App ya google kusearch unapata same interface kama unayoipata kwenye chrome. Hii ni kwa sababu default search engine ya chrome ni google.
We endeleea kupiga debe stand😀😀🤣Na crome inapatikana google