Habari. Umepata wakukusaidia kusoma Excel?Naomba kufundishwa online excel kwa anaefahamu(hesabu za excel)
umeshindwa kujisomea peke yako mpaka ufundishwe, excel kweliNaomba kufundishwa online excel kwa anaefahamu(hesabu za excel)
Ivi kumbe kuna hesabu za excel?Naomba kufundishwa online excel kwa anaefahamu(hesabu za excel)
Ndio mkuu, excel ni pana mkuu,Ivi kumbe kuna hesabu za excel?
We unazungumzia formula za kukupa majibu au hesabu? Sorry, Mimi mwenyewe siijui vizuri excel.Ndio mkuu, excel ni pana mkuu,