Ulizo kuhusu ajira za serikali kupitia Ajira Portal

phael vet

Senior Member
Sep 30, 2016
126
82
Habari za Asubuhi wakuu,

Naomba kuuliza kwa anaefahamu vizuri ,Eti ukifanya Mtihani wa kuandika (written) na kufaulu kuitwa usaili wa mazungumzo (Oral) teari kuna uwezekano ukaitwa kazini hata kama ukomo wa idadi walioihitaji umefika?
 
Habari za Asubuhi wakuu naomba kuuliza kwa anaefahamu vizuri ,Eti ukifanya Mtihani wa kuandika (written) na kufaulu kuitwa usaili wa mazungumzo (Oral) teari kuna uwezekano ukaitwa kazini hata kama ukomo wa idadi walioihitaji umefika ?
Teari au tayari? Ngoja wajuvi wa mambo haya waje.
 
Na kwa upande wa madereva interview zao kwa sasa zinafanyika pia Dodoma au bado ni Dar.

Ningependa kulifahamu hili kwa wenye kujua.
 
Sawa mkuu Ahsante kwa mawazo yako ila wanasema matokeo ya oral ni siri mkuu hua hayaoneshwi navosikia , ila Ahsante kwa mchango wako
 
Na kwa upande wa madereva interview zao kwa sasa zinafanyika pia Dodoma au bado ni Dar.

Ningependa kulifahamu hili kwa wenye kujua.
Tangazo la kuitwa kwenye usaili ndio huwa linaeleza sehemu ya kufanyia usaili
 
Sawa mkuu Ahsante kwa mawazo yako ila wanasema matokeo ya oral ni siri mkuu hua hayaoneshwi navosikia , ila Ahsante kwa mchango wako
Kama ulifaulu utajua utakapopangiwa nafasi ikipatikana, ila usiache kufanya saili zingine zinazoendelea
 
Back
Top Bottom