Mtu aliyesoma AMO anaweza kusoma masters zipi?

Mchinox

JF-Expert Member
Jan 20, 2023
232
249
Hivi mtu aliesoma AMO (Assistant medical officer),anaweza akasoma masters zipi kwa anaefahamu naomba anijuze..
 
Huwezi kwenda masters mpk uwe na bachelor degree asa amo ana advanced diploma anaendaje kuchukua masters
 
Hivi mtu aliesoma AMO (Assistant medical officer),anaweza akasoma masters zipi kwa anaefahamu naomba anijuze..
AMO ni qualification ambayo inatambulika Tanzania tu. haipo kwingine. huwezi kusoma Masters kwa Kutumia qualifications za AMO
 
Mkuu huwezi kusoma master ila cheki kuna kozi pale muhimbili inaitwa advanced diploma in dermatovamalogy inaweza kukufaa kama unataka kuongeza ujuzi
 
Mkuu huwezi kusoma master ila cheki kuna kozi pale muhimbili inaitwa advanced diploma in dermatovamalogy inaweza kukufaa kama unataka kuongeza ujuzi
Hii si wanaisoma ambao wana AMO au hata CO?
 
Mtu mwenye bachelor ya clinical medicine kwa Tanzania ni equavalent na amo so hawezi kusoma speciality za medicine labda asome masters I think ni ya clinical medicine siipati vzr line speciality nyngne hawezi kusoma
 
1) Malawi clinical officer anasoma moja ya hizi bachelors KUHeS - Undergraduate programmes
2) Anakuwa still AMO ingawaje ni rahisi kupata progression pathway kwa kufanya a fellowship in one of the related areas or a Masters of science
3) Hili ni jambo la kuigwa na vyuo vyetu vikuu Tanzania
 
Mtu
Mtu mwenye bachelor ya clinical medicine kwa Tanzania ni equavalent na amo so hawezi kusoma speciality za medicine labda asome masters I think ni ya clinical medicine siipati vzr line speciality nyngne hawezi kusoma
Mwenye Bachelor ya Clinical Medicine still anaweza kuwa na progression pathway in different health related fellowships or research fellowships etc kila jambo lina mlango wa kutokea
 
Back
Top Bottom