Naomba MTU anaefahamu excel vizuri ani inbox

Naomba MTU anaefahamu excel vizuri ani inbox

odamae

Senior Member
Joined
Nov 5, 2020
Posts
163
Reaction score
291
Naomba kufundishwa online excel kwa anaefahamu(hesabu za excel)
 
Au unazingumzia account package Kama quick book
Ila Kama sum, fx, average,
 
Unaijua V look up formula? =Count if A>60, <90
Wengine wamezoea kulipwa kwa saa ukirudi bongo bado sana malipo yako chini mno. Afisa analipwa USD 45 sawa na laki moja kwa siku tena ajitegemee malazi na chakula huko site.
 
Back
Top Bottom