Ila usipige magoti.....na si kila kosa uombe msamaha......Na kama kila wakati unafanya makosa yapasa kwa mwaka uombe msamaha angalau mara 1.............Na msamaha wenyewe utamke hivi: Yamekwisha au Poa au Nimeelewa au Ok, au Yaishe au kupiga kimya. Kaunga akija hapa ni balaa lol!