Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Teh atoto ameshabalance jamani. Yes wapo wanawake kibao pia ambao huwa wanatake mahusiano for granted,Muongelee pande zote, msitoe implication kuwa male ndo wakosaji.
Teh atoto ameshabalance jamani. Yes wapo wanawake kibao pia ambao huwa wanatake mahusiano for granted,Muongelee pande zote, msitoe implication kuwa male ndo wakosaji.
Mmmmh! Mie huwa nahisi kuna wakati tunamsingizia Mungu na shetani pia.haahahahah labda Mungu ndivyo alivyopanga...Law of nature
pia hata nyinyi wanawake sometimes ndio mnaopelekea haya yote kutokea ingawa hapa nimejaribu kuonyesha makosa ya upande wangu tu ,R nae ana makosa mengi sana ambayo anatakiwa aniombe msamaha.Ila kweli, hili somo haliwaingiagi kiurahisi, sijui nani kashika ufahamu wao kwenye hii sekta. Ataregret, ila akimpata mwingine anasahau tena khaaaa
Naamini kila mtu huwa ana share yake ya makosa kwenye mahusiano, no one is perfect. Hata kuignore red flags ni kosa pi, kumruhusu mtu kukuumiza kwa muda mrefu ni kosa lako pia lol. Pole bana yashapita hayo, cha msingi umepata funzopia hata nyinyi wanawake sometimes ndio mnaopelekea haya yote kutokea ingawa hapa nimejaribu kuonyesha makosa ya upande wangu tu ,R nae ana makosa mengi sana ambayo anatakiwa aniombe msamaha.
Beyoncé - Best Thing I Never Had:
nafikiri umenipata...!
!
Ignaratia juris haud ekzekuta.
Hawa ni wepesi wa kusahau sijui ndo nature yaoWanajifunza ila wanarudia makosa sijui kwann, sijui kwakuwa tumeumbwa na kitu 'kusahau'
mmh..hilo dongo sasa, sema mi kilichonipa mshawasha kwenye hiyo video ni hiyo lingeria Beyonce aliyoitupia yaani mi ukinivalia hivyo ndani hautatoka ni kipigo cha utu uzima mpaka kuchweee
Yaani daaah! Mungu atufunulie tu.Teh zinabaki zile "Ningejua" kibaooo
ndio, hizi itakuwa ni genye tu...maana katika utafiti wa kisayansi inaonyeshaMkuu isijekuwa genye tu
kweli majuto ni mjukuu...lakini for this nilikuwa naregret makosa tu nothing moreTeh zinabaki zile "Ningejua" kibaooo
Owkey, vizuri kama umeona ni wapi ulipokoseakweli majuto ni mjukuu...lakini for this nilikuwa naregret makosa tu nothing more
Hapana, mimi ni Mtanzania na hili la kubadilishwa na nyimbo ya Beyonce nimeshalijibu huko juu pia usiwe unakurupuka kiasi hicho inatakiwa usome uzi wote kila mstari na kufatiria kila post ili kujua mjadala mzima unaendaje, acha habari za majungu mjombawe lazima utakuwa mfilipino.... unabadilishwa na nyimbo??? tena ya beyonce???
dah! been in ya shoes once or twice with social media... you are such a mediocre..Hapana, mimi ni Mtanzania na hili la kubadilishwa na nyimbo ya Beyonce nimeshalijibu huko juu pia usiwe unakurupuka kiasi hicho inatakiwa usome uzi wote kila mstari na kufatiria kila post ili kujua mjadala mzima unaendaje, acha habari za majungu mjomba
uandishi wako unaonyesha wewe ni mtu wa aina gani tena mwenye wasiwasi mwingi pia nashangaa huyo Beyonce sijui umemjuaje.
katika philosophy kuna hii inaitwa THOMIST PRINCIPLE "Quidquid recipitur ad modum recipientis recipitur"
dah! been in ya shoes once or twice with social media... you are such a mediocre..
Aaah kuwa na adabu hata kidogo wewe,kwani huyo Mkurya amekosea nini hadi unataka dada yake?Wewe unaongelea musoma gani ambayo watu hatuijui na unaongelea dar ipi ambayo bado hujafika
Heshima ni kitu cha bure na Mimi sio mtani wako hata siku moja so chunga sana dogo
Hii ni social media ambapo tuna share stories tu kitu ambacho hakiwezi kubadilisha uanaume wangu kama unabisha nipe Dada ako uone.