Juzi katika pitapita zangu katika mitandao mbali mbali ndipo nilipokutana na hii nyimbo ya Beyonce if i were a boy ,mara nyingi sipendi kuingia kwenye link ambazo sio dhamira yangu but this link remand me something
Nakumbuka mara nyingi tulikuwa tunatofautiana sana na my mpenzi na tatizo kubwa lilikuwa mimi kukwepa mawasiliano(phone, i was busy all the time), hanging out with friends and drinking beers,kutompa nafasi kama mpenzi wangu hasa kwenye baadhi ya mambo ambayo yeye anatakiwa ndiye awe mpangaji (nilikuwa much know) na pia kumpangia muda wa mimi kuonana na yeye...nilikuwa namtimizia mahitaji yake kama mpenzi wangu pale anapokua na shida mbalimbali hasa za kifedha na kushiriki kwenye problem za kawaida katika familia yao eg.misiba na sherehe.
huko nyuma nilikuwa na historia mbaya kwenye mahusiano ambapo sex was the only thing which i needed from girls, so i hurted so many girls bila kujua (i feel guilt for this and im not proud of it)
Huyu mpenzi wangu R mara nyingi alikuwa ananiambia anaomba siku moja muujiza utokee yeye awe mimi na mimi niwe yeye ili nijue ni jinsi gani anavyoumia na inavyouma hasa pale ninapomwambiaga "nipo tu na washikaji tunakula gambe,huku sauti za kike zikisikika" huku akisisitiza sana hiyo nyimbo ya Beyonce niiangalie na kuisikiliza ,mimi sikumuelewa kabisa na nikabaki na msimamo wangu kwamba "girls always crying for no reason"
Ndipo juzi nikaamua kuingia kwenye hiyo link iliyotokea bila kutarajia na kuiangalia hiyo nyimbo video yake na kuisikiliza kwa makini kutaka kujua R alikuwa anamaanisha nini (ingawa nyimbo ni ya muda),imenifanya nitafakari sana and I'M SO SORRY MY R