Naomba msaada wakuu kwa apk ya IMEI changer kwa Qualcomm device

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
15,869
2,000
Naomba msaada wakuu kwa apk ya IMEI changer kwa Qualcomm devices, hii Mobile uncle naona ni kwa MTK devices tu. Kuna loophole flan hivi ya free internet nataka kuiexploit
 

Jerlamarel

JF-Expert Member
Sep 14, 2021
498
1,000
Kama unahitaji kuconnect kupitia zile cable za ukutani za ethernet lkn zimewekewa password niambie nikuelekeze.

Yani ni simple sana, unaenda na pc yako, unaconnect kupitia cable unaendelea kula speed ya nguvu, 200MBPS.
 

Joselela

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
5,028
2,000
Google flash exposed framework ili uweze kuchange IMEI kwenye Qualcomm snapdragon devices.
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,715
2,000
Kwa simu za Qualcomm security ni kubwa, Imei inabadilishika ila sio rahisi kihivyo, usually ni process ndefu na sometime unaweza kutakiwa kununua kitu kubadili.
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,715
2,000
mkuu miracle thunder haiwezi fanikisha kweli.
Kuna box zilikuwa zinaandika certificate ambayo ndani ina Imei, certificate zinauzwa na box pia zinauzwa na ni simu za zamani. Simu za sasa ni ngumu zaidi Imei inakuwa ndani ya hardware kabisa. Kuna watu wanafanya ila sijui kama ni safe tena wanafanya remotely
 

Baba Rhobi

JF-Expert Member
Nov 4, 2020
253
250
Naam, kuna jamaa yangu naye ilikua inazingua kukubali ila uzuri yeye alikua anatumia MTK device tena ambayo iko rooted hivyo tulitumia mobile uncle tools kuchange IMEI and vouloir, ikakubali!
mkuu, sasa hapo si mtu unatumia hata kitochi unachange IMEI ambapo naamini penyewe itakua rahisi then, unakua unahospotisha hio baba lao SPD.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom