Naomba msaada wadau.

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,634
4,519
baada ya kupotea siku nyingi nimejitokeza tena waungwana nikiwa na ombi dogo tu.Naomba yeyote mwenye picha ya First Lady mtarajiwa au Mrs Magufuli aitupie hapa ili tumfahamu.
 
Welcome back saint Black Cat.Mtazame huyu mama hapa chini akiwa na mumewe

MKE MAGUFULI.jpg
 
Back
Top Bottom