Naomba msaada wa Ushauri wa haraka ndugu zangu

Naomba msaada wa Ushauri wa haraka ndugu zangu

Pole sana Mkuu

Nashauri Kwa kuwa huyo ndugu yako alikuwekea mtego wa kuchat na Mume wake badala yake, nawe mwambie alikuwa anachat na Mke wako.

Mwambie Mke wako/Mpenzi wako alihisi Kuna mtu unatoka naye hivyo alianza kufatilia simu yako kufikia hatua ya kuanza kuitumia Siku Moja Moja hasa ukiwa umeenda bafuni.

Hivyo possibly Siku hiyo alikuwa anachat nao bila wao kujua.

Dadadekiiii!!!

Nakuteua kuwa mshauri wa bodi wa chama cha mabazazi...

Subiri baadaye kidogo natoa PDF la uteuzi...
 
Kwanini umtongoze ndugu yako, shangaa sana hicho kitu. Tamaa tu, aibu hiyo
 
Dadadekiiii!!!

Nakuteua kuwa mshauri wa bodi wa chama cha mabazazi...

Subiri baadaye kidogo natoa PDF la uteuzi...
Kwamba nijiandae kutembelea V8 sio🤗

Nimeona Bwana mdogo amefikia kukata tamaa hadi kutamani kujiua Kwa jambo dogo hivyo,

Hivyo Wakongwe tumeingia Kazini kumnusuru 😜
 
Pole sana Mkuu

Nashauri Kwa kuwa huyo ndugu yako alikuwekea mtego wa kuchat na Mume wake badala yake, nawe mwambie alikuwa anachat na Mke wako.

Mwambie Mke wako/Mpenzi wako alihisi Kuna mtu unatoka naye hivyo alianza kufatilia simu yako kufikia hatua ya kuanza kuitumia Siku Moja Moja hasa ukiwa umeenda bafuni.

Hivyo possibly Siku hiyo alikuwa anachat nao bila wao kujua.
Akili nyingi
 
We wachane tu. Mtu na mkewe wamekaa huko wameshauriana upumbavu tumzingue muhuni. Yaani muhuni una ugwadu wa mwaka mzima halafu wenyewe wanajipitisha na kanga moko walikuwa wanategemea nini?

Walichokitafuta ndio walichokipata.
 
Kwanza nicheke😂 ila nimegundua vijana wengi waliozaliwa 96-99 roho zinawauma wanawaonea wivu watoto wa 2000 nikimaanisha wanatamani wangechelewa kuzaliwa ili wazaliwe mwaka 2000.
Amna bro...😂😂. Vitoto vya 2000 vijuaji Sana!!!
We imagn kuna kingine hapa jiran cha 2003 lakini kishaliwa mara nyingi kuliko hata mwanamke alodum kweny ndoa 20 yrs🏃🏃

Jina lake sahv limebadirika mtoto anaitwa Farasi
 
Dah kaka, familia ninayotoka mzee wangu ni mkoloni hata ndugu zangu, naogopa sana watanishambulia mno, matusi ya kila aina
Mwanaume unaogopaje mambo madogo kama haya wewe? Kusemwa jambo la kawaida kabisa kama mwanaume lazima utasemwa tu na hiyo ni process ya ukuaji wako acha umama wa kutaka kujidhuru.

Wewe kama mwanaume kwa umri wako huo ulitegemea ukutane na case za kuhujumu uchumi, kukwepa kodi? Kama kesi ndogo kama hiyo inakuwazisha umewawazia wale jamaa wanaojivika bomu kwa kuwasafirisha wale wasomali kwenye vieite? Generation Z acheni kudeka deka hiyo case ndogo sana
 
we kwani si ulimtongoza mmewe sasa mkewe inamhusu nini mumewe kumuhadithia mkewe hana koo haahaa! shemeji yako hajiamini huyo kwa staili hio atagombana na kila mmoja.
 
Yaani ndugu wa ukoo mmoja na ukakubali kuwa mtazini?? Loh! Watoto wa sikuhizi hamna adabu kweli yaani, jidhuru tu.
Sasa siku ukiwa baba halafu ukapata binti akawa mrembo Sana kwa hiyo utamtanani na yeye??? Maana hauna mipaka yaani unakosea halafu ukiambiwa unatishia kujiua?? Hauko sawa kiakili wewe.
 
HAUNAA KOSAA HAPO JAMAA ANGUUU.. yani ungesemaa umemkulaa hapo sawaaa mwanamke anaforce umlee kumjibu utamkulaa ndo kosaa acha ufalaa bhasii wageuzieee kibaoo Mwambie jamaa kama huyo mkewe ni malaya kazoea kugawaa bhasi Wewe haikuhusuuu maana hujawahii kulalaa naeee ungekuwa umemla sawa.. ACHA KUWA MNYONGEEEE
 
Yaani ndugu wa ukoo mmoja na ukakubali kuwa mtazini?? Loh! Watoto wa sikuhizi hamna adabu kweli yaani, jidhuru tu.
Sasa siku ukiwa baba halafu ukapata binti akawa mrembo Sana kwa hiyo utamtanani na yeye??? Maana hauna mipaka yaani unakosea halafu ukiambiwa unatishia kujiua?? Hauko sawa kiakili wewe.
Last born Junior wetu jamani muoneeni hurumaaa maana daah.
 
Mimi ni kijana (me) umri23-25. Kuna mkasa umenitokea hivi karibuni, unanifanya nifikrie kujizuru, nahitaji sana msaada wenu naumalizaje.

Nina ndugu yangu mtoto wa mtoto wa shangazi (mtoto wa binamu yangu bila shaka) yeye ni wakike, umri wake ni kama wangu.

Mwaka2020 kipindi nakuja chuo nilifikia kwa aunt (yeye kwa bibi yake) ndo tulipokutana, tulikaa pale tukiwa wote miezi kama miwili, yeye akaolewa, nikiwa mwaka wa pili me nikaenda kupanga, nilipopanga so mbali sana na aunt.

Sasa huyu mtoto wa binamu (mtoto wangu) mwezi miwili nyuma alikuja kwa aunt (yeye kwa bibi) kuja kusalimia, hakukaa sana akaondoka, mpaka anaondoka nilikuwa nimeonana nae mara moja tu, Kuna siku nilienda kuwasalimia baada ya hapo nikawa bize na kazi coz kazini kwetu tunapumzika mara moja kwa week so mda mwingi nipo bize.

Mkasa unaanzia hapa; ilikuwa jumatatu mchana nikiwa kazini, inaingia message namba ni ngeni, charting zikawa kama ifuatavyo;

No ngeni: Mambo
Mimi: Pouw nani mwenzangu
No ngeni: Me linah (sio jina lake nmeamua kumpa hilo jina kuficha identity)
Me: Za siku
Linah: Nzuri tu
Me: Mbona uliindoka kimya kimya hata hatujapata muda wa kuzungumza, tukaishia kuonana mara moja tu
Linah: Usijari mwezi wa6 nitarudi tena, vipi ulifurahi?
Me: Ndio nilifurahi kukuona
Linah: Mwezi wa6 nitakuja, utaenjoy zaidi, nitakupa na mapenzi
Me: (moyo ukagonga kidogo) ulikuwa wapi siku zote kunipa na nimekaa na wewe kwa aunt miezi mingi hivyo.
Linah: Hakijaharibika kitu, kwani unanipenda eee?
Me: Nakupenda sana, tangu kipindi hicho tunaishi kwa aunt
Linah: Mbona hukuwahi kuniambia
Me: Niliogopa ungenikataa ingekuwaje

Kufupisha story, mwanaume nikajikuta najaa + kumsifia, hadi kumuomba mwezi6 akija so mbaya akafikia kwangu coz nina mpango wa kuhama nilipopanga naenda kukaa mbali kidogo. Wakati huo nikawa napata machali flani nikaanza kuhisi kama mtego, ikabidi nimpigie simu kuhakiki ni yeye kweli au, nilipopiga kweli alipokea yeye tukasalimiana baadae nikakata simu, baada tu ya kukata simu akanitumia sms akaniuliza " Kwa hiyo ulikuwa huamini? Nikajibu ndio.

Dk chache nikapigiwa simu, kupokea ni yeye analia na kunitukana, tangu lini Mimi na yeye tunamahusiano + nimechart nini na mume wake, ugomvi ushakuwa mkubwa, nikamuomba niongee na mumewe, jamaa akachukua simu akaanza kutukana sana na kunifokea, me ikabidi niwe mpole + excuse nyingi, kwamba me nilichukulia mzaha kwani siwezi kufanya hivyo, jamaa akaniambia kuanzia Leo nifute namba yake na nisiwasiliane nae tena, tukawa tumeishia hapo.

Juzi nikiwa kazini, nikapigiwa simu na shemeji (mke wa baba yake mdogo binti), ni kutukanwa nimefanya nini, ndoa ya watu ipo matatani na mambo kadha wa kadha, nikamuomba anitumie namba ya mkwilima coz nilikuwa nishaifuta, ili niongee nae tena kwa mara nyingine, kweli nikampigia jamaa, alichoniambia niwe na amani yeye akisamehe kasamehe na kwamba keshanisamehe, ila kikubwa nifute namba ya mkewe na nisithubutu kumpigia, basi ikawa hivyo.

Shida bado sijajuwa kama msamaha wake alimaanisha au Kuna jambo linaandaliwa manake hadi sasa mambo ndani hayapo swali.

Naogopa sana, haya mambo yakifika mbali kwa wazazi na ndugu wengine, sina amani kabisa, naogopa hata kupokea simu za ndugu, familia na ukoo wetu misimamo ni mikali, na huwaga hawasahau, nitaficha wapi sura yangu, nimechukua sick sheet, nashinda ndani tu nawaza hadi kujidhuru.

Naombeni USHAURI wenu ndugu zangu. Nisaidie huu msala ushaisha kama jamaa anavyodai au bado anafikiria cha kufanya, na naumaliza vipi.
Visichana hua vinapenda sana kutega watu, Sema atakae kupigia pokea akikuuliza mwambie hayo mambo siyajui sema mengine
 
Hadi unawaza kujiua kwa ajli ya ujinga wa mtu,yaani huyo mwanaume kuchati na wewe alikuwa anataka nini(tabia za kishenzi kabisa).Ulikosea sana kujishusha usiwe mnyonge mwambie huyo bwana akutolee upumbavu wake tabia za kijinga kujifanya mwanamke.Alafu mtu akikuuliza mwambie mi sijui chochote akamuulize vizuri aliyemwambia.Asee mi mwanaume mwenye tabia za kike simtaki maisha yangu yote.
 
Back
Top Bottom