Naomba msaada wa Ushauri wa haraka ndugu zangu

Naomba msaada wa Ushauri wa haraka ndugu zangu

Sio mimi ni wewe😂
Sijasema nimezaliwa elfu 2 kwenye huu uzi
Wewe ndo umesema😂
Kwanini umetamani kuzaliwa elfu 2 naomba unijibu?
Sasa nimetamani kivipi wakati ni uhalisia?

Mimi humu nilishakuwa mzee wa miaka 57, nishakuwa kijana wa 34, nishakuwa wa 90's na sasa nipo kwa 2,000's.

Kuzaliwa 2,000's sio dhambi na sio vbaya.
 
Mkuu hebu jiuelize,je unatitizo kama jibu ni ndiyo/hapana,jiulize tena je una uwezo wa kulitatua kama jibu ni ndiyo/hapana ,sasa wasi wasi wa nini,tatizo lipo na huna uwezo wa kulitatua unahofu nini? Tatizo lipo na una uwezo wa kulitatua wasiwasi wa nini?

Relax ,yana mwisho
 
Tatizo huanzia hapaa......
Screenshot_20240411-110630_One UI Home.jpg
 
kwaiyo mkwilima bado unampenda? ama ndo huzitaki mbichi hizi.
 
Sikiza Mkuu Nyore, huo ni mtihani mdogo sana kuwahi kukukuta bado hujajinyonga, kuna vyuma vitakukuta ukiendelea kukua utajua namaanisha nini..
Kwahiyo kama mwanaume unatakiwa upambane vitu vidogo kama hivyo uvimalize mwenyewe bila kutegemea ushauri wa wengine, kama ambavyo ulithubutu kutongoza ndugu ukijua si sawa basi inabidi ukabiliane nalo kwa ujasiri ule ule.... oke??
 
Mkuu unajaaje kwenye mfumo kizembe hvo kwenye simu hua tunazuga Kama vle hatutaki hayo mambo
 
acha upuuzi na usiishi kwa kukariri kwa sasa wewe unamaisha yako na upo mbali nao,hilo jambo limeshapita na wewe kufanya au kutokea kwako si wa kwanza lifute kabisa fanya mambo yako na kama ukiliweka kichwani litavuruga kabisa life yako kwa sababu ya kuwaza huo upuuzi.

maisha hata yaweje yanatakiwa kusonga mbele.
 
Ninazo ndugu yangu, wao ndo walianza kunitafta hata namba zao sikuwa nazo, na wao ndo walianza kuleta mada za mapenzi, sema mwisho me ndo nikajimaliza
1. Jamaa ana wivu wa kijinga, so wakati ndugu yako anakuongelea kwako, yeye akahisi unatoka nae, akafanya kila njia akutafute

2. Dada alikuwa anakupenda, so kakutafuta ila alikuwa hayupo makini na simu yake, akafumaniwa anachat na wewe, kuua soo, binti anakushushia zigo

3. Kila mmoja wenu kati ya ninyi wa3 mnamalengo yenu ambayo mnayajua wenyewe, sasa inatafutwa tu sababu ya kutimiza hayo malengo
 
No situation is permanent hata kifo huwa kinasahaulika, kwanza huyo mkwe wako alifikiria nini kuanza kukuchatisha ujinga kama huo? Puuza, anza kwenda job kuwa busy na mambo yako ni suala la muda yataisha hata kama ulifanya jisamehe, tubu, kubali imetokea ila isichukue sana muda wako. Waza mengine ya mbele. Watu wanamwagiwa mikoneksheni yao wanafukua mitaro hawajawahi kufa yaan wewe hilo tu ujiue
 
No situation is permanent hata kifo huwa kinasahaulika, kwanza huyo mkwe wako alifikiria nini kuanza kukuchatisha ujinga kama huo? Puuza, anza kwenda job kuwa busy na mambo yako ni suala la muda yataisha hata kama ulifanya jisamehe, tubu, kubali imetokea ila isichukue sana muda wako. Waza mengine ya mbele. Watu wanamwagiwa mikoneksheni yao wanafukua mitaro hawajawahi kufa yaan wewe hilo tu ujiue
Nakazia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom