Naomba msaada wa Ushauri wa haraka ndugu zangu

Naomba msaada wa Ushauri wa haraka ndugu zangu

Wazazi wangu, sio rahisi hivyo hasa mzee.
Haina hata haja ya kuwambia ila usije ukawaogopa wazazi kiasi hicho,yaani hata ungefumwa na huyo binamu yako wazazi wako watatafuta namna ya kukusaidia.unajipa pressure bure
 
Mume wa huyo dada hakutumia akili na wewe bado hujakomaa akili.

Endelea na shughuli zako hakuna la ajabu hapo. Wala usione ni jambo kubwa, ni dogo mno na litapita.

Nilidhani umempa ujauzito shangazi yako na mume wake anakutafuta.
Hata mimi nildhani hivo
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mwambie huyo sijui ni mjomba ako sijui shangazi, mwambie yeye ndo kaanza kujibebisha nawe ukajaa.....mwambie aache ujinga akizidi utaenda kumtandika.
 
Dah kaka, familia ninayotoka mzee wangu ni mkoloni hata ndugu zangu, naogopa sana watanishambulia mno, matusi ya kila aina
Labda kama una tabia za kifuska ndiyo itakuwa shida.
Wajulishe ndugu zako kwamba wewe ulikuwa unakwenda na vibes ili kumchangamsha huyo binti, maana yeye ndiyo alianza kukutumia msg kisha ndiyo aliyeanza kuchombeza issue za mapenzi. Waambie ulihisi anapitia matatizo kwenye ndoa yake hivyo alikuwa anatafuta mtu salama wa kuchati nae ili kum-boost morali yake.

Kama wewe ni mstaarabu lazima watakuwepo watakao kuelewa na kukusupport, na hilo ndiyo liwe lengo lako, yaani upate amabo watakuwa upande wako. Ila kama wewe ni kitombile hakuna atakaye kuamini na inabidi utafute makazi mapya na namba mpya uende chini ya rada kwa muda. Ukija kuibuka hali itakuwa shwari.
 
Mimi ni kijana (me) umri23-25. Kuna mkasa umenitokea hivi karibuni, unanifanya nifikrie kujizuru, nahitaji sana msaada wenu naumalizaje.

Nina ndugu yangu mtoto wa mtoto wa shangazi (mtoto wa binamu yangu bila shaka) yeye ni wakike, umri wake ni kama wangu.

Mwaka2020 kipindi nakuja chuo nilifikia kwa aunt (yeye kwa bibi yake) ndo tulipokutana, tulikaa pale tukiwa wote miezi kama miwili, yeye akaolewa, nikiwa mwaka wa pili me nikaenda kupanga, nilipopanga so mbali sana na aunt.

Sasa huyu mtoto wa binamu (mtoto wangu) mwezi miwili nyuma alikuja kwa aunt (yeye kwa bibi) kuja kusalimia, hakukaa sana akaondoka, mpaka anaondoka nilikuwa nimeonana nae mara moja tu, Kuna siku nilienda kuwasalimia baada ya hapo nikawa bize na kazi coz kazini kwetu tunapumzika mara moja kwa week so mda mwingi nipo bize.

Mkasa unaanzia hapa; ilikuwa jumatatu mchana nikiwa kazini, inaingia message namba ni ngeni, charting zikawa kama ifuatavyo;

No ngeni: Mambo
Mimi: Pouw nani mwenzangu
No ngeni: Me linah (sio jina lake nmeamua kumpa hilo jina kuficha identity)
Me: Za siku
Linah: Nzuri tu
Me: Mbona uliindoka kimya kimya hata hatujapata muda wa kuzungumza, tukaishia kuonana mara moja tu
Linah: Usijari mwezi wa6 nitarudi tena, vipi ulifurahi?
Me: Ndio nilifurahi kukuona
Linah: Mwezi wa6 nitakuja, utaenjoy zaidi, nitakupa na mapenzi
Me: (moyo ukagonga kidogo) ulikuwa wapi siku zote kunipa na nimekaa na wewe kwa aunt miezi mingi hivyo.
Linah: Hakijaharibika kitu, kwani unanipenda eee?
Me: Nakupenda sana, tangu kipindi hicho tunaishi kwa aunt
Linah: Mbona hukuwahi kuniambia
Me: Niliogopa ungenikataa ingekuwaje

Kufupisha story, mwanaume nikajikuta najaa + kumsifia, hadi kumuomba mwezi6 akija so mbaya akafikia kwangu coz nina mpango wa kuhama nilipopanga naenda kukaa mbali kidogo. Wakati huo nikawa napata machali flani nikaanza kuhisi kama mtego, ikabidi nimpigie simu kuhakiki ni yeye kweli au, nilipopiga kweli alipokea yeye tukasalimiana baadae nikakata simu, baada tu ya kukata simu akanitumia sms akaniuliza " Kwa hiyo ulikuwa huamini? Nikajibu ndio.

Dk chache nikapigiwa simu, kupokea ni yeye analia na kunitukana, tangu lini Mimi na yeye tunamahusiano + nimechart nini na mume wake, ugomvi ushakuwa mkubwa, nikamuomba niongee na mumewe, jamaa akachukua simu akaanza kutukana sana na kunifokea, me ikabidi niwe mpole + excuse nyingi, kwamba me nilichukulia mzaha kwani siwezi kufanya hivyo, jamaa akaniambia kuanzia Leo nifute namba yake na nisiwasiliane nae tena, tukawa tumeishia hapo.

Juzi nikiwa kazini, nikapigiwa simu na shemeji (mke wa baba yake mdogo binti), ni kutukanwa nimefanya nini, ndoa ya watu ipo matatani na mambo kadha wa kadha, nikamuomba anitumie namba ya mkwilima coz nilikuwa nishaifuta, ili niongee nae tena kwa mara nyingine, kweli nikampigia jamaa, alichoniambia niwe na amani yeye akisamehe kasamehe na kwamba keshanisamehe, ila kikubwa nifute namba ya mkewe na nisithubutu kumpigia, basi ikawa hivyo.

Shida bado sijajuwa kama msamaha wake alimaanisha au Kuna jambo linaandaliwa manake hadi sasa mambo ndani hayapo swali.

Naogopa sana, haya mambo yakifika mbali kwa wazazi na ndugu wengine, sina amani kabisa, naogopa hata kupokea simu za ndugu, familia na ukoo wetu misimamo ni mikali, na huwaga hawasahau, nitaficha wapi sura yangu, nimechukua sick sheet, nashinda ndani tu nawaza hadi kujidhuru.

Naombeni USHAURI wenu ndugu zangu. Nisaidie huu msala ushaisha kama jamaa anavyodai au bado anafikiria cha kufanya, na naumaliza vipi.
Swali la kujiuliza wewe NBA yake huna we yako ameipata wapiaana hakuna historia ya mawasiliano ya simu kati yenu, pia hiyo namba yako kwa binamu imeseviwa kwa jina gani, yawezekana the way ulivyoseviwa ndo kilichomtia shaka jamaa mpk akuweke on target.
 
Back
Top Bottom