Zero Conscious_
Member
- Mar 12, 2024
- 67
- 221
Duuh.. kweli bongo diliNdo ukubwa huo.
We waambie ulipoteza simu Pana mtu alikuwa anatumia simu yako wewe huwezi fanya hivyo kwa ndugu
Duuh.. kweli bongo diliNdo ukubwa huo.
We waambie ulipoteza simu Pana mtu alikuwa anatumia simu yako wewe huwezi fanya hivyo kwa ndugu
Wazazi wangu, sio rahisi hivyo hasa mzee.Pole bro, yote hutokea kwa sababu. So be strong, ushahidi wa kwanza tunza sana hizo sms za charting za mwanzo then washirikishe wazazi wako kabla ya wao hawajakutafuta. Anza na mama kama yupo then mzee I think watakuelewa tu usifiche kitu, na waambie kuwa kwakoilikuwa kamajambo la mzaha tu.
Pole
Niueni basi, kwani kuzaliwa 2000's ni dhambi?Wewe nae ni mtoto wa 2000?
Huwenda ikawa hivyo, lakini kumbuka wao ndo walianza kunitafta na sikuwa na namba yao, na wao ndo wakawa wa kwanza kuleta mishe za mapenzi, anyway kosa ni kosa tuTamaa za kijinga zimekuponza, pole sana usijidhuru. Hama hapo ulipo kama wanapajua, fanya kazi kwa bidii na uache huo ujinga wa kutamani wake za watu, utakuja kufinywa na wachawi wa himaya hii.
basi usiogopeSijawahi kufanya ndugu yangu, na hata namba yake baada ya kuolewa sikuwa nayo kabisa. Ndo siku hiyo ya kwanza kuwasiliana nae na yeye ndo aliyenitafuta ndo ikawa hivi
dhambi kubwa sanaNiueni basi, kwani kuzaliwa 2000's ni dhambi?
Kwanza nicheke😂 ila nimegundua vijana wengi waliozaliwa 96-99 roho zinawauma wanawaonea wivu watoto wa 2000 nikimaanisha wanatamani wangechelewa kuzaliwa ili wazaliwe mwaka 2000.Niueni basi, kwani kuzaliwa 2000's ni dhambi?
Utasema wewe wa Mwaka 47 😜Sababu ya wewe kutaka kujizuru ni ipi hapo?
Watoto wa 2000's mnadeka sana🚮
Nimekula chumvi nyingi babu😂Utasema wewe wa Mwaka 47 😜
Ni kweli inaweza isiwe rahisi lakini kuna mtu wa karibu na mzee unaweza zungumza nae cz hakijaharibika kitu maana hukuwahi kutembea nae nkWazazi wangu, sio rahisi hivyo hasa mzee.
Na vijana wenyewe ni wewe 😂Kwanza nicheke😂 ila nimegundua vijana wengi waliozaliwa 96-99 roho zinawauma wanawaonea wivu watoto wa 2000 nikimaanisha wanatamani wangechelewa kuzaliwa ili wazaliwe mwaka 2000.
Ipi hiyo?dhambi kubwa sana
Uyo mumewe ni mjinga sana, ila lazima kuna vitu alivinotisi kwa mkewe kuhusu wewe hadi akaamua kufanya hivyo.Huwenda ikawa hivyo, lakini kumbuka wao ndo walianza kunitafta na sikuwa na namba yao, na wao ndo wakawa wa kwanza kuleta mishe za mapenzi, anyway kosa ni kosa tu
Sio mimi ni wewe😂Na vijana wenyewe ni wewe 😂
Kwanini unahisi wanawaonea wivu?