Naomba msaada wa tekinolojia

Naomba msaada wa tekinolojia

tatizo langu si kutukana. me nashangaa mwanaume mwenzangu una mipasho kama ya kike, kunani wallah pana jambo hapa sio bure
Kumbe we Mwanaume? Nikajua Mwanamke mana jina la zawad huwa ni la kike na Pia ulivofuatilia comment Yangu ndo nikajua wa Kike
 
Ahsante mkuu nmekusoma
Je unaweza kunisaidia hiyo software?
mkuu kwenye partition kuna hatari ya kureset local disk c ukafuta windows na data zako zote kama ni mara ya kwanza mtafute mtu anaejua akusaidie
 
hapana mimi ni dume na midevu yangu. na pklz angalia nisije nikakufumua maana sipend dharau
Kwenye kusaidia udume n ujike wenu unanisaidia nn?
Learn how to help than to show ur status
 
Back
Top Bottom