becknature
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 744
- 982
Habari wakuu, natumia PC HP probook g2 430, nilivyonunua ilikua na window 10 pro, sasa baada ya matumizi nikajikuta wakati nilikua badilisha window,nikiri wakat naistall nilikua nachomeka tu booted flash then run, bila kuformat disk, tatizo linakuja kipindi hiki kila wakati nikipga window inaniletea window 10 education imenifanyia kama Mara nne hivi, na Mimi nahitaji window 10 pro. Naomba mnifahamishe tatizo linaweza kua nini?
Na nifanye nini niweze pata window 10 pro. Huwa nasikia kuna baadhi ya laptop wanakupa selection uchague window gani unahitaji ila yangu hii siipati hilo chaguo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na nifanye nini niweze pata window 10 pro. Huwa nasikia kuna baadhi ya laptop wanakupa selection uchague window gani unahitaji ila yangu hii siipati hilo chaguo.
Sent using Jamii Forums mobile app