Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 3,939
- 7,930
Habari zenu wakuu,
Samahani jamani mwenzenu wakati napiga window kwenye PC yangu ya HP. Limetokea tatizo pale pa kuchagua partition ambapo yanakuja maneno yafuatayo:
"Windows can not be installed to this disk.The selected disk has an MBR partition table.On EFI systems,windows can only be installed to GPT disks."
Hivyo basi wakuu naombeni msaada wenu nifanyaje ili nivuke kiunzi hiki ili niweze kupiga Window bila kufuta mafile katika disk nyingine ukiachana na local disc C.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.