Msaada tafadhar kwenye laptop inayostuch na kuscrach ukiwa unaangalia video

blackhermit

Member
Aug 28, 2016
21
45
Habar za mida hii wakuu, naomba kusaidiwa Jins ya kufix video stuck katika laptop yangu ni HP min nikiangalia video au movie yoyote kwenye laptop inakuwa ina scratch na kustuck wakat nikiamishia kwenye simu yangu inaonesha vzur tu natumia vlc na built in video player ya Windows 10 lakin zote zinatatizo hilo. Naomben msaada wenu nifanyeje ili video zionekane vzur
 
kali linux

JF-Expert Member
May 21, 2017
746
1,000

Mkuu update graphics driver
Fanya hivi ingia google andika 'graphics driver for xx' xx ni jina la model ya pc yako

Au kama ni win10 fanya kama maelezo ya kwenye hii scrnshot hapa chini
Screenshot_20190214-151919.png
 
kali linux

JF-Expert Member
May 21, 2017
746
1,000
But kwanza fanya hio method hapo kwenye scrn shot. Isiposolve ingia google usearch na kudownload graphics driver ya pc model yako
 
Penison

JF-Expert Member
Nov 4, 2017
4,181
2,000
But kwanza fanya hio method hapo kwenye scrn shot. Isiposolve ingia google usearch na kudownload graphics driver ya pc model yako
Mkuu samahani nina tatizo kidogo nje ya Mada kama una ideal unaweza kunisaidia.............. Natumia simu aina ya Samsung lakini nikichaji ikifika 70 % inagomea hapo tatizo linaweza kuwa nini
 
kali linux

JF-Expert Member
May 21, 2017
746
1,000
Mkuu samahani nina tatizo kidogo nje ya Mada kama una ideal unaweza kunisaidia.............. Natumia simu aina ya Samsung lakini nikichaji ikifika 70 % inagomea hapo tatizo linaweza kuwa nini
Mhhh....
Kiukweli hapo hilo tatizo liko more technical, so bora uende kwa fundi simu tu. Coz labda simu ina matatizo kwa ndani, au battery ina matatizo
 
kali linux

JF-Expert Member
May 21, 2017
746
1,000
Mkuu samahani nina tatizo kidogo nje ya Mada kama una ideal unaweza kunisaidia.............. Natumia simu aina ya Samsung lakini nikichaji ikifika 70 % inagomea hapo tatizo linaweza kuwa nini
Ila kama haina effect yyt mbaya, unaweza kuvumilia tu
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,796
2,000
Habar za mida hii wakuu, naomba kusaidiwa Jins ya kufix video stuck katika laptop yangu ni HP min nikiangalia video au movie yoyote kwenye laptop inakuwa ina scratch na kustuck wakat nikiamishia kwenye simu yangu inaonesha vzur tu natumia vlc na built in video player ya Windows 10 lakin zote zinatatizo hilo. Naomben msaada wenu nifanyeje ili video zionekane vzur
Mkuu hizi mini nyingi zi si laptop za kununua maana zinatumia processor za intel atom za kizamani na nyengine hata dual core hazina.

Kukusaidia hapo download program inaitwa media player classic ndio player nyepesi yenye codecs nyingi utaipata hapa

Downloads · MPC-HC

Click installer ya 32bit.

Pia avoid movies na video zenye high resolution max tafuta HD ya kawaida ila most of time tumia sd.
 
Thanks chief
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom