Nellyonjolo1
Senior Member
- Dec 2, 2012
- 120
- 39
Tafadhali waungwana, kuna mtu ameformat external ya ofisi na inadata za muhimu sana. Nahitaji mwenye kujua wapi(site) nitapata software nzuri yenye code kabisa maana kila niliyopewa inadai registration code.. au mwenyenayo anisaidie "nellyonjolo1@gmail.com" natanguliza shukurani