Naomba Msaada wa Haraka WanaJF: USB MASS STORAGE DEVICE not detected on PC

SaidAlly

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2011
Messages
2,256
Points
2,000

SaidAlly

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2011
2,256 2,000
WanaJF nimerudi tena bado naomba msaada wenu!

Nilikua siwezi kufungua external Device yangu ikidai niiformat, nimepata ushauri mbalimbali na nikaufanyia kazi, kilichotokea baadhi ya software nilizojaribu karibu zote zinahitaji location ya device isipokua moja ilidetect lakini ikawa inauwezo wa kurecover few mb za sehemu ya file, nikitaka full recovery inahitaji licence key ni nunue. Katika pitapita huku na kule kilichijitokeza sasa pc haidetect kabisa hiyo device ila nikiiconnect inawaka indicator yake na pc inatoa sound ya kudetect lakini location (G: au D:) haionekani kwy my computer. Nikiingia kwy control pannel under Printers and Devices naiona hiyo device ikiwa na caution sign ya njano na nikiingia kwy device manager nakuta kwenye Usb root hub ambayo hiyo device ipo kuna hiyo tena caution ya njano.

Nimehangaika nayo nakupata error code 10. Nime google kufix hiyo error bila mafanikio. Updater zote hazinisaidii tena zingine zinaniambia driver properly updated lakini kitu haisomi.

Naomba msaada wenu sana maana kuna documents zipo humo kwy external drive nikizipoteza siwezi zipata milele au inaweza kunicost miaka mingi pia kibarua kinaweza ota majani maana kuna docs nyingi za ofisi nilikabidhiwa nizifanyie kazi kisha nikabidhi reports, watahisi nimezidestroy makusudi coz kuna auding reports nyingi na zote muhimu na hakuna any copy anywhere kuhofia zingeibiwa.
Deadline imepita wiki ya 3 sasa sina majibu na visingizio vimeniisha.

Natanguliza shukrani nikiamini hapa JF nitafanikiwa. Asanteni.
 

Forum statistics

Threads 1,379,601
Members 525,469
Posts 33,750,267
Top