Prince_mandela
Senior Member
- Jul 29, 2016
- 167
- 117
Nahitaji msaada wa hali na mali wa season ya LETS FIGHT GHOST ya kikorea ambayo screen size yake haija katwa ka youtube ipo full yan ka za kwenye tv kabisa
YouTube ndo hizo kakuta zimekatwa.na tubemate itakua hivyo hivyo tuTubemate
Imekatwa kakaTubemate
Yan sijui ntaipatajeYouTube ndo hizo kakuta zimekatwa.na tubemate itakua hivyo hivyo tu
chukulia kwenye drama fever.comYan sijui ntaipataje
Ngoja ni cheki kakachukulia kwenye drama fever.com
Mbona inakaataa hii
Inanambia haiponkwenye nchi yang kakNgoja ni cheki kaka
Shukran mkuu
VpI see
Mkuu Dramacool ndiyo ambayo mie natumia haina longolongoNahitaji msaada wa hali na mali wa season ya LETS FIGHT GHOST ya kikorea ambayo screen size yake haija katwa ka youtube ipo full yan ka za kwenye tv kabisa
Ndiyo mkuu ilo tatizo nimeliona ata mm , inajipashida sana maana mm huwa napenda pakua wakati wan usiku kutokana na uwing wa bando nlopatabninunuapo usiku sasa inakubidi uwe macho sio ushushe season uache inaendelea inakupasa uanze epsoid to epsodtatizo season nyingi za kikorea lazima udownload episode moja moja sio season yote kwa wakat mmoja