Naomba msaada wa kutoa hela yangu kwenye Group Buying, nahisi nimeingia mkenge!

Shanyangy

JF-Expert Member
Jan 8, 2013
300
161
Habari yenu ndugu zangu, naombeni msaada wenu kuipata hii hela nikaitoa au kwa mtu yeye aliyewahi kucheza kwa kununua vitu halafu wanakupa commission kwa ile pesa uliyotoa. Commission yao inaanzia 30% mpaka 40%.

Hii issue inafanyika telegram basi na mimi nikawa muhanga. Nilikuwa natuma screenshoot za video ya YouTube waliokupa zikifika 10 unapewa 10000, sasa kuna muda unapewa task uweke elfu 30 halafu unapewa 39 pamoja na commission, nikalipwa. Sasa ndio nikaona hela ndio zipo huku.

Nikaendelea kucheza, nikacheza elfu 70 nikapewa elfu 90, sasa nikacheza tena elfu 70 nikaambiwa system inataka ucheze laki 2 kwahiyo niongeze lak 130 ili iwe laki 2, nikaweka.

Lakini nikaambiwa niweke tena laki 6, sasa laki 6 sina na pesa yangu imekwama ipo kwenye account yao, kuitoa ndio kipengele. Mwenye ujuzi naomba anisaidie kuitoa jaman.

Screenshot_20240223_142324_Chrome.jpg
 
Habar yenu ndugu zangu namben msaada wenu atakayenisaidia kuipata hii hela nikaitoa au kwa mtu yeye aliyewahi kucheza kwa kununua vitu alafu wanakupa commission kwa ile pesa uliyotoa commission yao inaanzia 30% mpaka 40% hii issue inafanyika telegram bas na mm nikawa muhanga wa nilikuwa natuma screenshoot za video ya YouTube waliokupa zikifika 10 unapewa 10000 sasa kuna muda unapewa task uweke 30 elf alafu unapewa 39 pamoja na commission nikalipwa sio nikaona hela ndo zpo huku nikaendelea kucheza nikacheza 70elf nikapewa 90elf sasa nikacheza tena 70elf nikaambiwa system inataka ucheze lak 2 kwahyo niongeze lak 130 ili iwe 2 lak nikaweka nikaambiwa niweke tena laki 6 sasa lak 6 sina na pesa yangu imekwama ipo kwenye account yao kuitoa ndo kipengele sasa mwenye ujuzi karibu anisaidie jaman.View attachment 2913262
Ndo umeishapigwa! Tofauti ya hela ambayo umeishawapa mpaka sasa ni nyingi zaidi ya nusu!
 
Habari yenu ndugu zangu, naombeni msaada wenu kuipata hii hela nikaitoa au kwa mtu yeye aliyewahi kucheza kwa kununua vitu halafu wanakupa commission kwa ile pesa uliyotoa. Commission yao inaanzia 30% mpaka 40%.

Hii issue inafanyika telegram basi na mimi nikawa muhanga. Nilikuwa natuma screenshoot za video ya YouTube waliokupa zikifika 10 unapewa 10000, sasa kuna muda unapewa task uweke elfu 30 halafu unapewa 39 pamoja na commission, nikalipwa. Sasa ndio nikaona hela ndio zipo huku.

Nikaendelea kucheza, nikacheza elfu 70 nikapewa elfu 90, sasa nikacheza tena elfu 70 nikaambiwa system inataka ucheze laki 2 kwahiyo niongeze lak 130 ili iwe laki 2, nikaweka.

Lakini nikaambiwa niweke tena laki 6, sasa laki 6 sina na pesa yangu imekwama ipo kwenye account yao, kuitoa ndio kipengele. Mwenye ujuzi naomba anisaidie kuitoa jaman.

Aseee hii imeeendaa
 
Tangu lini pesa ikachezewa?
 
Umenikumbusha jamaa yangu….yao ilikua inaitwa twitter nn sijui….unaweka hela then unapewa task ya ku like page kadhaa unapewa commission,kianzio laki saba unapewa mwezi mzima,ukimuunga mtu unapewa commission….ukiweka hela zaidi na dau linaongezeka…jamaa akanogewa akaweka milioni tatu laki saba anapata tu commission tena inatumwa mpesa…akanogewa akaamua aweke dau kubwa 15M mara shwaaaa ngoma ikapotea mpaka wa leo….
 
We ni kama kuku, ulikua unarushiwa punje za mahindi unaona raha unadonoa tu unazifata tu.....tulia upikwe uliwe na wali.
 
Habari yenu ndugu zangu, naombeni msaada wenu kuipata hii hela nikaitoa au kwa mtu yeye aliyewahi kucheza kwa kununua vitu halafu wanakupa commission kwa ile pesa uliyotoa. Commission yao inaanzia 30% mpaka 40%.

Hii issue inafanyika telegram basi na mimi nikawa muhanga. Nilikuwa natuma screenshoot za video ya YouTube waliokupa zikifika 10 unapewa 10000, sasa kuna muda unapewa task uweke elfu 30 halafu unapewa 39 pamoja na commission, nikalipwa. Sasa ndio nikaona hela ndio zipo huku.

Nikaendelea kucheza, nikacheza elfu 70 nikapewa elfu 90, sasa nikacheza tena elfu 70 nikaambiwa system inataka ucheze laki 2 kwahiyo niongeze lak 130 ili iwe laki 2, nikaweka.

Lakini nikaambiwa niweke tena laki 6, sasa laki 6 sina na pesa yangu imekwama ipo kwenye account yao, kuitoa ndio kipengele. Mwenye ujuzi naomba anisaidie kuitoa jaman.

Tia laki sita upate hela yako.
 
Umenikumbusha jamaa yangu….yao ilikua inaitwa twitter nn sijui….unaweka hela then unapewa task ya ku like page kadhaa unapewa commission,kianzio laki saba unapewa mwezi mzima,ukimuunga mtu unapewa commission….ukiweka hela zaidi na dau linaongezeka…jamaa akanogewa akaweka milioni tatu laki saba anapata tu commission tena inatumwa mpesa…akanogewa akaamua aweke dau kubwa 15M mara shwaaaa ngoma ikapotea mpaka wa leo….
Siku hizi matapeli wamekuwa wajanja. Wanakutega kwa kukupa vya bure mwanzoni, halafu ukinogewa unaupigwa mpaka unazimia.
 
Back
Top Bottom