Naomba msaada wa site ya kudownload season hii ya kikorea

Prince_mandela

Senior Member
Jul 29, 2016
167
117
Nahitaji msaada wa hali na mali wa season ya LETS FIGHT GHOST ya kikorea ambayo screen size yake haija katwa ka youtube ipo full yan ka za kwenye tv kabisa
 
mkuu kama una vpn unaweza dowload dramacrazy full episode.
kama huna vpn nenda googdrama ukadownload vipati vitatu kila
episdode
-website hizo mbili ni za kuangalia online itabidi uwe na idm
kuzicatch
 
tatizo season nyingi za kikorea lazima udownload episode moja moja sio season yote kwa wakat mmoja
 
tatizo season nyingi za kikorea lazima udownload episode moja moja sio season yote kwa wakat mmoja
Ndiyo mkuu ilo tatizo nimeliona ata mm , inajipashida sana maana mm huwa napenda pakua wakati wan usiku kutokana na uwing wa bando nlopatabninunuapo usiku sasa inakubidi uwe macho sio ushushe season uache inaendelea inakupasa uanze epsoid to epsod
 
Back
Top Bottom