Naomba msaada wa site ya kudownload season hii ya kikorea

Ndiyo mkuu ilo tatizo nimeliona ata mm , inajipashida sana maana mm huwa napenda pakua wakati wan usiku kutokana na uwing wa bando nlopatabninunuapo usiku sasa inakubidi uwe macho sio ushushe season uache inaendelea inakupasa uanze epsoid to epsod
jifunze kutengeneza queue idm, unatengeneza unajaza link zako halafu unaianzisha unalala, yenyewe automatic itadownload episode ya kwanza hadi mwisho kutokana na ulivyoielekeza,

kudownload na queue kama link ni moja moja badala ya kuclick download now unaclick download later
 
Shukrani mkuu nilikuwa silitambui ilo nilikuwa nachelewa kulala kisa kudownload asante sana
 
Back
Top Bottom