Naomba msaada wa mchanganuo wa sherehe

Naomba msaada wa mchanganuo wa sherehe

Kaka kuna wedding planners, kwanini usiwatumie hao? Wanakupatia kitu safi kwa bei nzuri.
Kama una wanakamati usiwaambie una milion hizo....waambie una only 5m
 
Mill 16 ukipata business idea ukainvest utapata sh ngapi?
Poleni kwa kupumbazwa na show offs mjini.Kama mimi ningemshauri mume tugharamie vitu vya muhimu then million kumi haipungui itabaki tuendelezee maisha!
Hata kutembeza kadi za mchango mtaani naona aibu aisee!
 
Kati ya wakati natamanigi kuwa Muislam ni linapokuja swala la sherehe za ndoa zao...Vry simple huwa ni chai na mandazi na mara nyingi hakuna mambo ya ukumbi ni hapo kwa hapo mavazi ni kanzu tu unakabidhiwa wife nyie hao hme...Very nice kwani hizi sherehe za Harusi na michango zimeleta uhasama mkubwa sana kwenye jamii zetu...
 
Chakula 20,000×220 (ongeza plate 20 za wazamiaji na wasio na kadi)

Vinywaji juicy 3500×220×2 (hii itabaki nanitafidoa soda na maji)

Ukumbi

Mc

Usafiri

Nguo bi harusi kati ya 500k-800k
Suti yako sidhani kama inazidi 500

Saluni

Mbona mil 16 chenji inabaki...hebu kaniwekee kwenye alaunti yangu mie nitakufanyia kila kitu

fursa ndo hizi ...mmezikalia naona
 
Mill 16 ukipata business idea ukainvest utapata sh ngapi?
Poleni kwa kupumbazwa na show offs mjini.Kama mimi ningemshauri mume tugharamie vitu vya muhimu then million kumi haipungui itabaki tuendelezee maisha!
Hata kutembeza kadi za mchango mtaani naona aibu aisee!

We dada mchaga nini?
unaonekana hupendi mchezo na pesa na matumizi yasiyo eleweka
 
We dada mchaga nini?
unaonekana hupendi mchezo na pesa na matumizi yasiyo eleweka
hahhaahaa!
Mi ni mchanganyiko wa uchagani na pwani but nimekulia pwani tanga huo uchaga siujui!
Btw huoni nlichosema ni uamuz mzuri pia..Imagine pesa zote hizo azimalizie kwa kulisha hadi watu wanasaza ndani ya siku wakati kunahata watt yatima kiroba cha unga ndani ya siku hakiwatoshi mda mwingne wanalala njaa?
Mungu akikupa jitahidi kukifanyia mema kile unachopata na utapokea baraka zaidi kuliko kufanya hizo kufuru!
 
Alipaswa kufanya harusi ndogo tu
lakini ndo hivyo kila mtu na mawazo yake
watu wanamshauri yeye anasisitiza 'lazima iwe ya aina yake ikibidi kuongeza bajeti'
watu wa aina hii 'hulizwa sana na wanakamati matapeli'
harusi hiyo itatumia milioni 6 tu
lakini watampiga atatoa 20.....
 
atajua mwenyewe
 
Back
Top Bottom