Kayaula Musa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 694
- 719
Msaidie tu mkuu mtizamo wake usikukwaze
Msaidie tu mkuu mtizamo wake usikukwaze
nmemshauri tu ila mwenzangu naona hajajielewa...Msaidie tu mkuu mtizamo wake usikukwaze
Natambua jinsi ulivyompambania baba yako na Mungu atakubariki sanaNimeku-PM upo kimyaa! Ukijisikia kunitafuta utanipata na nitakupatia muongozo, huyo dogo atapata matibabu na atapona...
Ampeleke Muhimbili kitengo cha magonjwa ya akili atapona kabisaMkuu wewe ndio msaidie ulipata wapi huduma.