Omba rufaa ya kumleta Mirembe,Dodoma mkuu.Poleni ndugu watanzania na majukumu ya kila siku,poleni na tozo na maumivu ya kushikiliwa kwa mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Nasisitiza Mbowe Siyo Gaidi.
Hongereni kwa kupokea chanjo ya corona, Mimi nimeshachanja...
Mkuu wewe ndio msaidie ulipata wapi huduma.Mpeleke hospitali kitengo cha magonjwa ya akili watampa dawa na ushauri nasaha atapona
Mdogo wangu aliugua ugonjwa wa akili na alipona kabisa
Ushauri mzuri, Lutindi Mental Hospital ni hospitali nzuri kwa shida aliyonayo. Kwa maelezo zaidi njoo PM MbwichichiKorogwe kuna hospital ya lutindi ina deal na mental case jaribu kwenda ni bora
Usimfundishe kuandika,huwezi jua kuwa huenda Mbowe naye ni ndugu yake pia.Unapoleta uzi wa kutafuta msaada jiepushe na siasa au labda nia yako ni kusaidiwa na upande unaoona una nguvu
Aya yako ya mwisho mbovu mno mkuu. Omba msaada kwanza kisha harakati baadae.
Usimfundishe kuandika,huwezi jua kuwa huenda Mbowe naye ni ndugu yake pia.
Kwa hiyo anahangaikia issue ya mdogo wake mgonjwa wa akili the same time anapambania haki ya Mbowe kwa kusema "MBOWE SIO GAIDI"
Kuna mahali kuna mgonjwa anaendelea na tiba na inafanya vizuri, nitakucheki ili uweze kumpeleka hukoMkuu mshana mm pia Nina mdogo ana tatizo kama hilo tushampeleka sana muhimbili wanamlaza wiki akitoka wanampatia vidonge vya kutumia nyumban baada ya muda kidogo hali inarejea tena, imekuwa ndio kawaida sasa nyumban - muhimbili , msaada mkuu
Pole sana! Mnaishi wapi kwa sasa? Ndugu yako huyo anatumia kilevi/bangi? Kuna historia ya magonjwa ya akili ktk familia yenu (upande wa baba yenu au mama yenu)?Poleni ndugu watanzania na majukumu ya kila siku,poleni na tozo na maumivu ya kushikiliwa kwa mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Nasisitiza Mbowe Siyo Gaidi.
Hongereni kwa kupokea chanjo ya corona, Mimi nimeshachanja...
Bangi na vilevi hapana...ila hayo maruerue yote anapataPole sana! Mnaishi wapi kwa sasa? Ndugu yako huyo anatumia kilevi/bangi? Kuna historia ya magonjwa ya akili ktk familia yenu (upande wa baba yenu au mama yenu)? Anasikia sauti zinamsemesha, sauti ambazo wengine hawazisikii?...
hizo aya zinakukamata ubongo usione content ni nini?..jikite kwenye point
Aisee unaonekana una matatizo mengi sana Kuliko ulioyaombea ushaurihizo aya zinakukamata ubongo usione content ni nini?..jikite kwenye point
inawezekana..wala sijakataaAisee unaonekana una matatizo mengi sana Kuliko ulioyaombea ushauri
Hujajibu maswali yangu mengine ambayo ni ya msingi! Mnaishi wapi? Kuna ndugu yeyote ktk ukoo wenu mwenye tatizo la kuchanganyikiwa?bangi na vilevi hapana...ila hayo maruerue yote anapata
Naww umeamua umjibu kisiasa?Unapoleta uzi wa kutafuta msaada jiepushe na siasa au labda nia yako ni kusaidiwa na upande unaoona una nguvu
Aya yako ya mwisho mbovu mno mkuu. Omba msaada kwanza kisha harakati baadae.