Wahudumu wa baa, wauza vyakula na wahudumu wa gesti, wekeni taarifa zenu ziwe sahihi na za kweli

Nyamesocho

JF-Expert Member
May 5, 2023
476
1,244
Hili kundi kutokana na historia mbaya ya maisha yao huko nyuma na matatizo mbalimbali yanayowakabili ni kundi linaloongoza kwa kuficha majina halisi waliyopewa na wazazi wao na walikozaliwa au walikoolewa zamani

Kundi hili halipo wazi kila akihamia eneo fulani anabadilisha majina na alikozaliwa na mbaya zaidi hata waajiri wao huwa hawapewi full details zao

Hawa ni binadamu wanapokutwa na shida ya ghafla huwa inakuwa ngumu sana kujua majina yake halisi na sehemu alikozaliwa

Nawashauri hawa wadada wanaodanga, wauza baa, wauza magengeni na wahudumu guest house na lodge waweke taarifa zao sahihi pale anapopatwa na tatizo ndugu zake wampate kiurahisi sana, najua ni ngumu kuweka wazi taarifa zao waelemishwe umuhimu wake wasiwape watu kazi ngumu wanapopatwa na matatizo

Huyu Dada anaitwa Joyce Mathias Sengiyumva au (Mama Samia) alifariki ghafla na ameacha mtoto mdogo anayeitwa SamiaMarehemu alikuwa anafanya kazi Ktk Nyumba ya kulala wageni inayojulikana kama GIBITA GUEST HOUSE iliyopo katika Mji mdogo wa Mugumu,Wilayani Serengeti,Enzi za uhai wake alikuwa akisema nyumbani kwao ni Ngara,Mkoani Kagera,juhudi za kuwapata ndugu zake mpk Sasa hazijafanikiwa,jaribu kusambaza ktk ma group mengi ili ndugu zake wapate kupatikana kwaajili ya kuwezesha mazishi yake lkn pia kwaajili ya kumchukua mtoto mdogo aliyemuacha.View attachment 2820631
 
Hili kundi kutokana na historia mbaya ya maisha yao huko nyuma na matatizo mbalimbali yanayowakabili ni kundi linaloongoza kwa kuficha majina halisi waliyopewa na wazazi wao na walikozaliwa au walikoolewa zamani

Kundi hili halipo wazi kila akihamia eneo fulani anabadilisha majina na alikozaliwa na mbaya zaidi hata waajiri wao huwa hawapewi full details zao

Hawa ni binadamu wanapokutwa na shida ya ghafla huwa inakuwa ngumu sana kujua majina yake halisi na sehemu alikozaliwa

Nawashauri hawa wadada wanaodanga, wauza baa, wauza magengeni na wahudumu guest house na lodge waweke taarifa zao sahihi pale anapopatwa na tatizo ndugu zake wampate kiurahisi sana, najua ni ngumu kuweka wazi taarifa zao waelemishwe umuhimu wake wasiwape watu kazi ngumu wanapopatwa na matatizo
sahihi kabisa Chief,

hata wanoenda kupata huduma haswa zile za kificho mathalani za kingono na michepuko, lakini pia madeal wa wizi na ujambazi. Tafadhali wekeni taarifa zenu sahihibkwenye daftari la mahudhurio ya wageni wa siku, ili isaidie kurahisisha upatikanaji wa nduguzo ukikwamia homo ndani.....

sasa unakuta Jamaa anaitwa Masumbuko lakini kwenye daftari kaandika Mashaka. Anaishi apo magomeni tu lakini kwenye daftari kaandika anatoka tandahimba mtwara anakwenda Machame, lakini yupo humuhumu dar. namba ya simu aloandika pale kwenye daftari ukipiga, inapokelewa Ngara huko ndani ndani kabisa.....
Kweli shetani ni mbaya sana

Hii si sawa hata kudogo.....
 
Naunga mkono mkuu
 
Nilishawai kula mhudumu Bar ya kauli ya bibi Mlandizi alikuwa anaitwa Marry nikaenda Uganda mkoa mmoja unaitwa Massaka Nyendo bar moja inaitwa Ambiance nikamkuta tena anajiita Monika aliniadisia mpaka sababu iliyomkimbiza bongo kumbe alijifungua mtoto akamtupa dah
 
bora hujatugusa wateja wa guest house & lodge
Hawa mara nyingi huwa wanaficha taarifa zao kwa sababu wapo kwa muda mle ndani, ila hawa wadada wanaondoka nyumbani kwao kwa kipindi kirefu na huko waendako wanabadilisha majina na eneo alikozaliwa inakuwa tabu sana akipata tatizo
 
Siku zote muovu hajiamini. Ukifatilia,waliyo wengi utakuta wana matukio,yapo ya kawaida,wanaficha aibu,na yapo mazito,wanakwepa mkono wa sheria.
Sasa na wengine wanapoongopa,hawasimamii ule uongo. Mfano wa kisa cha Tarime huko,ukiangalia tu jina la baba,kwa Ngara hamna. Hakika ni wa nchi jirani. Lakini wanasahau kwamba kuna siku litatokea la kutokea,na watahitajika watu wa karibu.
 
Nashauri tukikutana nao huko tuwaelemishe umuhimu wa kuwa wazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom