CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 156
Asante sana kwa majibu mazuri.Aiseee...
1. Malipo ya overtime yanatofautiana kulingana na shirika. Sijaju serikalini, maana hujasema kama ni serikakini au private...
TOTAL OVERTIME HOURS IN A MONTH & hence OVERTIME PAY.... by considering working hours and annual leave.Asante sana kwa majibu mazuri.
Kwa kifupi nahitaji kujua hiyo total overtime hours kwa mwezi itakuwa kiasi gani kwa kuangalia vyote nilivyotaja (kufanya kazi 12 hours in a day/ 7 days in a week with only 28 days of annual leave).
Assuming overtime pay na makato mengine yatazingatia sheria za Tanzania na HAKUNA MALUPULUPU MENGINE yanayoweza kuathiri gross pay na HAKUNA MAKATO MENGINE ZAIDI YA HIYO 10% YA NSSF NA PAYE zinazoweza kuathiri net pay.
Au mimi ndiyo sijaelewa, maana unachokata hapo ni kupata Jumla ya overtime hours, ambazo kimsingi hata wewe unaweza ukazijua kwa kufanya simple calculation.Asante sana kwa majibu mazuri.
Kwa kifupi nahitaji kujua hiyo total overtime hours kwa mwezi itakuwa kiasi gani kwa kuangalia vyote nilivyotaja (kufanya kazi 12 hours in a day/ 7 days in a week with only 28 days of annual leave).
Assuming overtime pay na makato mengine yatazingatia sheria za Tanzania na HAKUNA MALUPULUPU MENGINE yanayoweza kuathiri gross pay na HAKUNA MAKATO MENGINE ZAIDI YA HIYO 10% YA NSSF NA PAYE zinazoweza kuathiri net pay.
Wataalamu (HR) wanajua,huwa kuna vinamba kama vile sijui 4.333 times nini, sijui vitu gani vingine....Au mimi ndiyo sijaelewa, maana unachokata hapo ni kupata Jumla ya overtime hours, ambazo kimsingi hata wewe unaweza ukazijua kwa kufanya simple calculation.
Kwa sababu tayari unajua overtime hrs ni 12 hours, na siku ambazo unafanya kazi overtime ni 7 days au 6 daya, sasa kwa nini usizidishe!?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Oooh... kumbe.. basi ngoja wapite hapaWataalamu (HR) wanajua,huwa kuna vinamba kama vile sijui 4.333 times nini, sijui vitu gani vingine....
Jinsi ya kupata malipo ya overtime ni hivi.Wataalamu (HR) wanajua,huwa kuna vinamba kama vile sijui 4.333 times nini, sijui vitu gani vingine....
Kuna uwezekano wa kujua netpay ya basic salary yako ila hatuwezi kujua Gross salary yako na malupulupu mengine. Angalia hapa chini kwenye attachment nimekuwekea Net salary yako baada ya kukatwa kodi na NSSF. Pesa ya overtime utajumlisha mwenyewe kwa muda wako because overtime sio kitu standard.Habari za jioni wadau?
Naomba msaada wa kujua total overtime, gross na net salary ya mtu (KWA MWEZI), kwa mwenye basic salary ya 2,192,540 Tshs anayolipwa kwa kufanya saa 45 kwa wiki moja, i.e Mon-Fri (08:00-17:00) na Sat (08:00-13:00)...
Kwa kuongezea tuu navyofahamu Mfanyakazi unachangia 10% na mwajiri anachangia 10%Aiseee...
1. Malipo ya overtime yanatofautiana kulingana na shirika. Sijaju serikalini, maana hujasema kama ni serikakini au private.
2. Gross pia hutegemea na malupu lupu mengine, mfano nyumba, usafiri, n.k..sasa kupata gross ni lazima ujumlishe na hayo malupu lupu mengine, so wewe ndio unayajua, sisi hatuyajui hivyo ni ngumu kutaja au kukuambia gross salary yako.
3. Always NSSF ni 10% of your basic salary.
4. Kujua kiwango cha net salary, ni lazima tujue kama kuna contribution zingine zinakuwa deducted from your salary, mfano malipo ya mkopo, uchangiaji kwenye mifuko ya vyama vya wafanyakazi n.k
5. PAYE inakokotolewa soon after ku deduct passions fund, so chukua basic yako, toa pension fund, Jumlisha ma hayo malupu lupu menigne, figure utakayopata kaiingine kwenye kikokotoo kwenye website ya TRA utapata majibu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Inategemea kama ni private au governmentKwa kuongezea tuu navyofahamu Mfanyakazi unachangia 10% na mwajiri anachangia 10%
Kawaida tu kuna Mashirika Mtu mwenye Darasa la Saba anakula 1.3M plus Overtime inafika hadi 2M hapo mtu ndo utajiona Lofa Sana ni vitu vya kawaida mkuu.Duuh kuna watu wanalipwa pesa mingiiiiiiiii.
2M, mshahara wa miezi mitano(5) kwa mwalimu wa Diploma, miezi zaidi ya sita(6) kwa Mwalimu wa Cheti.
Kumbe darasa la saba bado wapo/wana Ajiriwa kwenye utumishi wa UmmaKawaida tu kuna Mashirika Mtu mwenye Darasa la Saba anakula 1.3M plus Overtime inafika hadi 2M hapo mtu ndo utajiona Lofa Sana ni vitu vya kawaida mkuu.
Kumbe darasa la saba bado wapo/wanaAjiriwa kwenye utumishi wa Umma