Msaada wa mawazo kuhusu computer development courses

davetz28

JF-Expert Member
Dec 17, 2017
395
500
Nawasalimu nyote kwenye ukumbi huu kuhimu sana wa kupashana habari,matukio na ujuzi kutoka kwa wadau waliomo humu ndani.
Mimi ni mwanachama mwenzenu japo si wa muda mrefu sana.

Mimi ni mwajiriwa wa serikali wa muda kiasi ninaomba mchango wa mawazo na ushauri wenu kuhusu kujifunza fani au taaluma fulani mtandaoni. Nimekuwa nikiona watu wakizungumza kuhusu application kadhaa ambazo zinatoa kozi za muda mrefu na mdupi,mojawapo wa application hizo ni kama Coursera, Udemy nk.

Maswali yangu ni kuwa ni kweli unaweza kusema kozi kama programming (code) na ukawa vizuri pasipo kwenda chuoni kuongeza maarifa?
Je kuna members humu ambao wamesoma masomo hayo na wamefanikiwa kupata kile walichojifunza kupitia mitandaoni?

Je soko lake likoje kwa maana ya suala la kujiajiri je platform ikoje ya kupata pesa kupitia elimu hiyo hasa kwa wale wanaojiajiri?

Binafsi natamanai sana kusoma kozi ambazo zitanisaidia kufanya biashara mtandaoni je kozi zipi ni nzuri ambazo kwa kiasi kikubwa naweza kujifunza kwa uhakika na kuanza biashara?

Nashukuru sana kwa atakaye tumia muda wake kunipa uzoefu na maoni yake.
Pole kama nitakuwa nimezunguka sana kuandika uzi huu,Mungu awabariki sana
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,044
2,000
1. Unaweza kusoma bila kwenda chuo na ukaelewa ila inahitaji nguvu ya ziada. Kma unajifunza mwenyewe ni lazima kwanza uelewe basics vizuri kabla ya kukimbilia mambo mengine.

Kwanza ujue unataka kujifunza programming kwa lengo gani. Ukishajua hapo ndio utajua language gani uanzie na kuendelea baada ya hapo.

Pia Ufahamu kuwa kma hujawahi kabisa kujifunza mambo haya itakuchukua muda kidogo kuelewa vizuri. Usitegemee kwamba utajisomea miezi 6 na utaweza kutengeza full functioning app kwa muda huo na kuelewa vizuri concept za programming.

2. Kuhusu fursa hapo sasa inategemea.
Kwa employment hapa bongo ni almost impossible kma huna degree ya comp science fields. Bongo bado waajiri wanaangalia vyeti.
Nje ndio unaweza pata kazi bila cheti kma una portfolio nzuri uliyojijengea.
Hapo ni upate remote jobs au uwe upo kabisa kwenye nchi husika.

Kwenye kujiajiri hapo sasa ndio unaweza pata hela kwa uhakika. Unaweza kuwa freelancer kwenye websites mbali mbali au kufanya project zako mwenyewe na kutengeneza hela.

Cha muhimu ni kwamba kabla hujaanza unatakiwa uwe na dedication na kujua kutenga muda kujufunza (haswa kma upo kazini). Inaweza kuchukua hata mwaka kujua vizuri language uliyooanzia. Lakini ukishajua moja basi zingine inakuwa rahisi kidogo kuzielewa sababu basic concept ni sawa kote (ndio maana nasisitiza kuwa ujue basics vizuri).

Sehemu za kujifunzia nakushauri utumie course websites kama Udemy, Coursera, Jetbrains Academy au Udacity na vitabu (vitabu ni muhimu sana katika kuelewa language). Usitegemee YouTube 100% kujifunzia, maana mara nyingi huwa hawaelezei basic concepts kwa mfumo mzuri.

Kuna muda utajikuta kma huelewi kitu kabisa na hii ni kawaida, usikate tamaa. Pumzisha akili kidogo na uje uendelee baadae, utaelwa tu. Ukiona huelewi kitu search Google utafute maelezo zaidi, hii ndio njia nzuri ya kuelewa.

Pia kuna nyuzi nyingi tu humu Jf zinaongelea haya mambo. Zitafute uzipitie ziatakupa muongozo.
 
Asante sana kwa maelezo mazuri.Nolilishaanza kama miezi mitatu hivi ni kweli nikawa nahisi kama sielewi elewi hivi.
Nafikiria kutumia fursa za mitandao walau kutengeneza hela ya ziada ndio maana nikafikiria hilo
Nimekuwa nikisoma mtandaoni kuwa kuna baadhi ya watu wanafanya affiliate marketing nk.
Unatakiwa ufahamu nini zaidi Ili ufanikiwe?
 
Kuhusu mambo ya affiliate marketing hapo hauhitaji tena mambo ya kusoma programming.

Affiliate marketing unatakiwa kuwa na influence mtandaoni ndio utapata hela. Kwa mfano kma una YouTube channel au socila media account yenye followers wengi ambao wako active. Unakuwa una post link ya bidhaa kutoka shopping websites kma Amazon, eBay, AliExpress, nk ambazo mtu akitumia hyo link kununua hcho kitu kuna percent yako unapewa. Affiliate marketing ni ngumu sana kama wewe sio influencer mtandaoni.

Issue ya mtandaoni ni kwamba unatakiwa uwe na following kubwa uweze kutengeneza hela. Sababu hata ukiwa na hzo affiliate links bado utahitaji kuinfluence watu kuzitumia.
 
davetz28

JF-Expert Member
Dec 17, 2017
395
500
Asante,neona baadhi wakati napitia pitia nikaona wanasema uwe na website.
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,044
2,000
Asante,neona baadhi wakati napitia pitia nikaona wanasema uwe na website.
Affiliate marketing unapachika kokote kule. Kma una website inayo review products unaweza weka, kma una twitter account unaweza pachika affiliate links kwenye tweets zako zilizoenda viral, kma una YouTube channel pia unaweza pachika links zako baada ya kuongelea kuhusu hyo product.

Kiufupi tu ni kwamba affiliate marketing inahitaji uwe na influence nzuri ili utengeneze hela.
 
davetz28

JF-Expert Member
Dec 17, 2017
395
500
Affiliate marketing unapachika kokote kule. Kma una website inayo review products unaweza weka, kma una twitter account unaweza pachika affiliate links kwenye tweets zako zilizoenda viral, kma una YouTube channel pia unaweza pachika links zako baada ya kuongelea kuhusu hyo product.

Kiufupi tu ni kwamba affiliate marketing inahitaji uwe na influence nzuri ili utengeneze hela.
Asante sana mkuu kwa msaada mkubwa sana wa mawazo.
Ngoja niongeze followers maana Instagram wapo 200 tu na na Facebook wapo 1000+ nilitaka nianzie Facebook kwanza kabla sijaingia huko kwingine
MUNGU AKUBARIKI SANA KWA MUDA WAKO ULIOUTUMIA
 
Mamserenger

JF-Expert Member
Oct 14, 2019
509
1,000
1. Unaweza kusoma bila kwenda chuo na ukaelewa ila inahitaji nguvu ya ziada. Kma unajifunza mwenyewe ni lazima kwanza uelewe basics vizuri kabla ya kukimbilia mambo mengine.

Kwanza ujue unataka kujifunza programming kwa lengo gani. Ukishajua hapo ndio utajua language gani uanzie na kuendelea baada ya hapo.

Pia Ufahamu kuwa kma hujawahi kabisa kujifunza mambo haya itakuchukua muda kidogo kuelewa vizuri. Usitegemee kwamba utajisomea miezi 6 na utaweza kutengeza full functioning app kwa muda huo na kuelewa vizuri concept za programming.

2. Kuhusu fursa hapo sasa inategemea.
Kwa employment hapa bongo ni almost impossible kma huna degree ya comp science fields. Bongo bado waajiri wanaangalia vyeti.
Nje ndio unaweza pata kazi bila cheti kma una portfolio nzuri uliyojijengea.
Hapo ni upate remote jobs au uwe upo kabisa kwenye nchi husika.

Kwenye kujiajiri hapo sasa ndio unaweza pata hela kwa uhakika. Unaweza kuwa freelancer kwenye websites mbali mbali au kufanya project zako mwenyewe na kutengeneza hela.

Cha muhimu ni kwamba kabla hujaanza unatakiwa uwe na dedication na kujua kutenga muda kujufunza (haswa kma upo kazini). Inaweza kuchukua hata mwaka kujua vizuri language uliyooanzia. Lakini ukishajua moja basi zingine inakuwa rahisi kidogo kuzielewa sababu basic concept ni sawa kote (ndio maana nasisitiza kuwa ujue basics vizuri).

Sehemu za kujifunzia nakushauri utumie course websites kama Udemy, Coursera, Jetbrains Academy au Udacity na vitabu (vitabu ni muhimu sana katika kuelewa language). Usitegemee YouTube 100% kujifunzia, maana mara nyingi huwa hawaelezei basic concepts kwa mfumo mzuri.

Kuna muda utajikuta kma huelewi kitu kabisa na hii ni kawaida, usikate tamaa. Pumzisha akili kidogo na uje uendelee baadae, utaelwa tu. Ukiona huelewi kitu search Google utafute maelezo zaidi, hii ndio njia nzuri ya kuelewa.

Pia kuna nyuzi nyingi tu humu Jf zinaongelea haya mambo. Zitafute uzipitie ziatakupa muongozo.
Hata mimi nimekuelewa sanaa mkuu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Masterkratos

JF-Expert Member
Jan 28, 2017
584

Safi sana mkuu, umempa ushauri ki- honest kabisa na mzuri sana.
 
Mwalimu wa Zamu Tz

JF-Expert Member
Jan 2, 2021
498
1,000
 
BILGERT

JF-Expert Member
Feb 27, 2015
4,893
2,000
Wakuu nisaidieni mbinu za kuondoa kirusi cha NUSM..kavamia computer yangu..kaharibu mafile yote.hakuna file linalo funguka kuanzia picha, documents, videos na movie zote..kwako @chiefmkwawa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom