Naomba msaada wa ku-update Galaxy Note 1 N700

Naomba msaada wa ku-update Galaxy Note 1 N700

NguoYaSikuKuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
699
Reaction score
1,120
Wakuu nina ka'simu kangu ka Galaxy Note 1 N700, nimejaribu ku'force Update kwa kutumia Links za kule Xda Developers ila nikiweka Recovery Mode inagoma kabisaa!!

Sasa nilikuwa naomba kuelekezwa jinsi ya kupata Updates hapa Dar. Na kama za kulipia ni shilingi ngapi
 
Bila kueleza ulichofanya huwezi kusaidiwa, kama ndio umegiveup kabisa nenda jukwaa la matangazo kawape watu kazi wakufanyie
 
bila kueleza ulichofanya huwezi kusaidiwa, kama ndio umegiveup kabisa nenda jukwaa la matangazo kawape watu kazi wakufanyie
Mkuu sija'give up ila nilikuwa nafanya Rooting,Sasa nikifanya ije katika Recovery mode inakataa kabisa, Inakuja Symbol ya Samsung na inawaka... So hapa ndo nakata tamaa kabisaa
 
Mkuu sija'give up ila nilikuwa nafanya Rooting,Sasa nikifanya ije katika Recovery mode inakataa kabisa, Inakuja Symbol ya Samsung na inawaka... So hapa ndo nakata tamaa kabisaa

Umefanikiwa kuroot?? stock recovery haina options zinazohiajika katika kuinstall Custom ROMs, kwa hiyo hakikisha umeroot simu yako, na kisha ingia playstore search app inaitwa recovery tools.

Hii ukiifungua itaomba root access halafu utakubali, ukishakubali itaload recovery zote zilizopo kwa ajili ya simu yako. Kisha itadownload na kuflash Custom recovery. Kwa ushauri wangu kuwa mwangalifu tu, step ukiona inakuzingua, njoo hapa jukwaani tutakupatia mwongozo.

Back to the issue, ukishaflash custom recovery, hakikisha una rom unayotaka kuinstall pamoja na Google apps, maana custom roms nyingi hazina google apps packed in.
 
What's made my tecno h3 so slow hata YouTube ni shedaah

Youtube app unaiupdate?? Maana app usipoiupdate itafika kipindi ufanisi wake utapungua. Na pia kama unastream videos youtube, hakikisha hauna process yoyote ya kudownload maana internet ya hapa Tanganyika haipo fasta kiasi cha kustream na kudownload files kwa wakati mmoja.
 
Blessed be!
 
Umefanikiwa kuroot?? stock recovery haina options zinazohiajika katika kuinstall Custom ROMs, kwa hiyo hakikisha umeroot simu yako, na kisha ingia playstore search app inaitwa recovery tools. Hii ukiifungua itaomba root access halafu utakubali, ukishakubali itaload recovery zote zilizopo kwa ajili ya simu yako. Kisha itadownload na kuflash Custom recovery. Kwa ushauri wangu kuwa mwangalifu tu, step ukiona inakuzingua, njoo hapa jukwaani tutakupatia mwongozo.
Back to the issue, ukishaflash custom recovery, hakikisha una rom unayotaka kuinstall pamoja na Google apps, maana custom roms nyingi hazina google apps packed in.
Ndugu ninapotaka kuRoot ndio inagoma,ila mm sio mara ya kwanza kuRoot simu. Nimejaribu kuRoot nimeshindwa Mkuu
 
Ndugu ninapotaka kuRoot ndio inagoma,ila mm sio mara ya kwanza kuRoot simu. Nimejaribu kuRoot nimeshindwa Mkuu

Unatumia app ya simu kwa rooting au unatumia software kwenye pc?? Kama unatumia computer kwa kuroot, ni muhimu ku-enable usb debugging wakati wa kuroot. Kwa hiyo jaribu tena kuroot wakati ume-enable usb debugging.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom