Naomba msaada wa jinsi ya Ku-Update Android Version ya Simu

Guilherme

Senior Member
Feb 20, 2020
100
225
Wakuu habari zenu wana JamiiForums,

Nilikua nataka nia Update Android Version kutoka 5.1.1 kwenda Android 7 kwenye simu yangu. Nimejaribu lakini nimeshindwa,

Je, nifanyaje ili niweze Ku-Update wakuu.

Aina ya simu ni galaxy note 5 nmeattach na model yake hapo chini.

Screenshot_2020-05-30-20-19-45.jpg
 
Attachments

  • IMG-20200527-WA0001.jpg
    File size
    33.9 KB
    Views
    0

Guilherme

Senior Member
Feb 20, 2020
100
225
Mkuu note 5 unaweza tumia smart switch kwenye pc, sema kama ulinunua hizi simu zetu za mitaani hakiki hio model

Zima simu kisha shikilia cha kuwasha, kupunguza sauti na cha home kwa pamoja itaingia download mode angalia model yake.
Sawa mkuu nielezee hyo smart switch inakuaje maana nmeangalia review youtube naona sielewiii mkuu.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,050
2,000
Sawa mkuu nielezee hyo smart switch inakuaje maana nmeangalia review youtube naona sielewiii mkuu.
Unaidownload kwenye pc, unaconect simu na usb cable nenda kwenye emergency software recovery kisha fuata maelekezo.

Ila usiruke step hio ya download mode ni muhimu pengine ndio maana hujapata automatic update.

Samsung hawatoi updates kwa simu za mitandao kama verizon, t mobile, Lg U+ etc
 
Guilherme

Senior Member
Feb 20, 2020
100
225
Unaidownload kwenye pc, unaconect simu na usb cable nenda kwenye emergency software recovery kisha fuata maelekezo.

Ila usiruke step hio ya download mode ni muhimu pengine ndio maana hujapata automatic update.

Samsung hawatoi updates kwa simu za mitandao kama verizon, t mobile, Lg U+ etc
Sawa mkuu hiyo emergency software recovery ipo kweny simu au pc
 
EvilSpirit

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
5,119
2,000
Mkuu yan we acha tu kwan nikiroot hiv sipati android 10 mkuu
Hiyo simu kuipa android 10 ni kuibebesha mzigo mzito sana.Sisi device zetu huwa zinakuwa notified kwamba zinahitaji update nadhani system zinacheki device fulani kama inastahili na itaweza kubeba hizo updates.embu jaribu kuupdate android kwa android mfano 5 kwenda 6 kwenda 7 kwa style hiyo
 
Tish

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
331
250
Mkuu yan we acha tu kwan nikiroot hiv sipati android 10 mkuu
Ku upgrade sio lazima sana kama sio muhimu.kama cm inafanya kazi vizuri unatunza charge uko supported na app muhimu inatosha.Unaweza uka upgrade ukaanza kuona simu haiko sawa kama mwanzo au ikawa nzuri zaidi jaribu kuangalia android 7 kwa note 5 inafaida zaidi au ubaki tu kwenye 5.1.1
 
Guilherme

Senior Member
Feb 20, 2020
100
225
Ku upgrade sio lazima sana kama sio muhimu.kama cm inafanya kazi vizuri unatunza charge uko supported na app muhimu inatosha.Unaweza uka upgrade ukaanza kuona simu haiko sawa kama mwanzo au ikawa nzuri zaidi jaribu kuangalia android 7 kwa note 5 inafaida zaidi au ubaki tu kwenye 5.1.1
Mkuu me shida yangu ni ku install google camera sasa wanadai niwe na android 7 na kuendelea hapa nilipo nmeinstall google camera kwa version below 5.1.1
 
Guilherme

Senior Member
Feb 20, 2020
100
225
Mkuu me shida yangu ni ku install google camera sasa wanadai niwe na android 7 na kuendelea hapa nilipo nmeinstall google camera kwa version below 5.1.1
Lakin ata hii camera nzuri ila naak nzur zaid ndo maana natak hiyo android 7
 
Guilherme

Senior Member
Feb 20, 2020
100
225
Hiyo simu kuipa android 10 ni kuibebesha mzigo mzito sana.Sisi device zetu huwa zinakuwa notified kwamba zinahitaji update nadhani system zinacheki device fulani kama inastahili na itaweza kubeba hizo updates.embu jaribu kuupdate android kwa android mfano 5 kwenda 6 kwenda 7 kwa style hiyo
Nmejaribu nmeshindwa ata maana kwenye setting nakuta neno software version lakn sion software update
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,050
2,000
Hiyo simu kuipa android 10 ni kuibebesha mzigo mzito sana.Sisi device zetu huwa zinakuwa notified kwamba zinahitaji update nadhani system zinacheki device fulani kama inastahili na itaweza kubeba hizo updates.embu jaribu kuupdate android kwa android mfano 5 kwenda 6 kwenda 7 kwa style hiyo
note 5 ni flagship ya zamani ina nguvu kushinda majority ya midrange za sasa hivi.
 
gachacha

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
1,736
2,000
Wakuu habari zenu.

Nilikua nataka nia update android version kutoka 5.1.1 kwenda android 7 sasa nmejaribu lakn nmeshinda,je nifanyaje ili niweze kuaupdate wakuu. aina ya simu ni galaxy note 5 nmeattach na model yake hapo chini.

View attachment 1463782
Kama hupati update kwa OTA basi device ipo modified, rooted, n.k

Nenda fundi software akusaidie ku update ni chap tu ata buku 5 or 10, kama huna ujuzi utaishia njiani na kujiongezea gharaza zisizo na maana.

Angalizo: uki update simu inakuja na vitu vizuri ila chaji inaweza ikawa inawahi kuisha tofaut na mwanzo.
 
mwanadome

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
4,220
2,000
Nilikua najinyima radha ya galaxy kwa kukomaa na android version 4.hadi niliposaidiwa na youtube kui update. Sasa nateleza tuuu.

Japo nakumbana sana na changamoto ya Internet kuwa slow down
 
gachacha

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
1,736
2,000
kwani hizi Android 9 mpaka 10 zinafaida gani na kunatofauti gani na hiyo 5 mpaka7 labda embu nitoe ushamba
Simu ni ile ile una upgrade tu operating system (OS) kama window tu windows 10 ni tofaut na window 7, faida zipo update ndo utazijua hasara zipo kwa old device
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom