Naomba msaada wa ku-block 'call' zote kuingia kwenye simu yangu

Aputwike

Senior Member
Aug 9, 2016
172
189
Habari wadau.

Naomba msaada wa ku-block 'call' zote kuingia kwenye simu yangu. Yaani nikipigiwa sipatikani au mtandao unakuwa kama unasumbua vile, lakini napata notification na kuamua nimpigie aliyenipigia au la!

Natumia 'sim card' ya Airtel na Voda, naombeni msaada nifanye nini. Kwa we wajuzi naombeni msaada kanuni nifanyaje, ila kwa wale wanaopenda utani kidogo naomba mpite kwanza kwa muda.

Nitashukuru kwa msaada wenu.
 
FOWARD CALLS/ DIVERT kwenda namba ambayo haipatikani /haipo mfano ( katika namba yako ya sasa ongeza tarakimu yyte ziwe 11 au zaidi kisha ENABLE........

ukitafutwa itakua inaandika tu Call Ended.
 
Na ukitaka kurudi kawaida tena unafanyaje mkuu? Asante kwa msaada wako mkuu
FOWARD CALLS/ DIVERT kwenda namba ambayo haipatikani /haipo mfano ( katika namba yako ya sasa ongeza tarakimu yyte ziwe 11 au zaidi kisha ENABLE........

ukitafutwa itakua inaandika tu Call Ended.
 
Habari wadau.

Naomba msaada wa ku-block 'call' zote kuingia kwenye simu yangu. Yaani nikipigiwa sipatikani au mtandao unakuwa kama unasumbua vile, lakini napata notification na kuamua nimpigie aliyenipigia au la!

Natumia 'sim card' ya Airtel na Voda, naombeni msaada nifanye nini. Kwa we wajuzi naombeni msaada kanuni nifanyaje, ila kwa wale wanaopenda utani kidogo naomba mpite kwanza kwa muda.

Nitashukuru kwa msaada wenu.
Usisumbuke zima tuu simu ulale,ndio njia rahisi na sahihi
 
Uanaume ni kuwachana watu sio kuwablock..
Kama mtu anakusumbua solution ni kumchana tu unamwambia aache kukusumbua.

Mwenye akili timamu hawezi kukutafuta ukimwambia anakusumbua..
 
Unataka kujiteka eee, kuna uwezekano kukawa ni hamna wasiojulikana ila watu mkawa mnajiteka na kusingizia wasiojulikana.
 
Hivi yule aliyeenda kwa bebi wake akasema katekwa yupo wapi suku hizi maana simsikiagi kabisa,haa haa haa nondo imara za kupasulia jiwe
 
Back
Top Bottom