Naomba msaada wa ku-block 'call' zote kuingia kwenye simu yangu

Na ukitaka kurudi kawaida tena unafanyaje mkuu? Asante kwa msaada wako mkuu
RUDIA PROCESS hadi ufike kwenye number ulyo divert then DISABLE kama ilivo kwenye Screenshot.
Screenshot_2018-10-15-11-10-13.jpeg
Screenshot_2018-10-15-11-09-17.jpeg
Screenshot_2018-10-15-11-09-07.jpeg
 
Uanaume ni kuwachana watu sio kuwablock..
Kama mtu anakusumbua solution ni kumchana tu unamwambia aache kukusumbua.

Mwenye akili timamu hawezi kukutafuta ukimwambia anakusumbua..
kuna jamaa alikuwa anadai 50, lkn akawa anatuma sms za kijinga kwangu na kwa wife, nkamwambia hyo hela sikupi na sasa npo kwenye process naitafuta roho yako, kaacga kabsa kunisumbua nw nakula tu bata!
 
Yessir hii ndo mwisho wa matatzo
FOWARD CALLS/ DIVERT kwenda namba ambayo haipatikani /haipo mfano ( katika namba yako ya sasa ongeza tarakimu yyte ziwe 11 au zaidi kisha ENABLE........

ukitafutwa itakua inaandika tu Call Ended.
 
Habari wadau.

Naomba msaada wa ku-block 'call' zote kuingia kwenye simu yangu. Yaani nikipigiwa sipatikani au mtandao unakuwa kama unasumbua vile, lakini napata notification na kuamua nimpigie aliyenipigia au la!

Natumia 'sim card' ya Airtel na Voda, naombeni msaada nifanye nini. Kwa we wajuzi naombeni msaada kanuni nifanyaje, ila kwa wale wanaopenda utani kidogo naomba mpite kwanza kwa muda.

Nitashukuru kwa msaada wenu.
Tala wanasabisha shida sana kwa watanzania
 
Back
Top Bottom