Naomba msaada wa jinsi ya kuedit system iliyoko offline

Naomba msaada wa jinsi ya kuedit system iliyoko offline

kudath omar

Senior Member
Joined
Mar 18, 2018
Posts
189
Reaction score
235
habari wanajf

nilikuwa naomba kuuliza wale wataalamu programming.
kuna system ya offline imefungwa katika pc yangu..ni system ya kufanya mauzo na nununi na kuweka recordings za miamala yoote..

sasa kuna vitu nilitaka nivibadilishe katika hiyo system na kuongeza baadhi ya features kidgo pianiifanye iwe ya online vp hilo suala linawezekana!!?

natanguliza shukrani zangu za dhati kwa watakaonisaidia mawazo kwenye hili
 
The cheapest way ni kumtafuta aliyeitengeneza system hiyo akufanyie marekebisho hayo.

Otherwise umtafute mtaalam akufanyie hiyo kazi kwa gharama ambazo unaweza usiamini!
 
kwahiyo inawezakana kumbe...

basi nashkuru saana nna mwanaIT wangu humu jf namuamini saana na anafanyia kazi zangu nyingi tu...ntamuelezea na ataniambia km anaweza or no!!! km atasema hyo ipo beyound of him basi ntakuja kutangaza deal hapa jf
 
yaani kuna jamaa yangu akinifungia km majaribio hata yeye alipewa hiyo system..aliempa alishindwa kurun system so nlipomuuliza alienifungia akasema ntawasaliana na alieniunganishia...by then jbu alilonipa ni kwamba huyo jamaa hata yeye alitengenezewa soo now kaamua kuachana na hayo mambo coz kampuni yake imekufa..

so mm nmeona now hii kitu inaumuhim kwangu thats why nataka kuiedit then niitumie kwenye matumizi yangu binafsi
 
Back
Top Bottom