Naomba msaada ninunue gari gani kati ya haya mawili?

BUCHANAGANDE

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
1,513
474
Habarini zenu!

Naomba msaada ninunue gari gani kati ya haya mawili:-

Gari la mwaka 2011 lina features zifuatazo:
Limetembea km 156,000
Rangi nyeusi
Linauzwa Dola 3,500 CIF

Pia lina
Airbag
Alloy wheels
FOG lights
Car navigation system
Anti lock brakes
Power window
Back monitor
Air conditioner
Power Steering
HID light
Real spoiler

Na

Gari la mwaka 2009 lina features zifuatazo:
Limetembea km 112,000
Rangi Brown
Linauzwa Dola 4,000 CIF

Lina
Airbag
Alloy wheels
Car navigation system
Anti lock brakes
Power window
Air conditioner
Power Steering
Real spoiler
Push start

NB:
1. Yote ni magari ya aina moja

2. Kipato changu kinaniruhusu kununua lolote kati ya hayo magari mawili

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu mliojaaliwa kuyaelewa magari.
 
Ill go for the second one with push to start option!!
Ingawa huwa zinasumbua sana ku start zikiwa maeneo ya kilwa road hasa Tazara sijui ni kwa nn, nimeshuhusia kama gari nne zikifanya hivo ila zikitoka maeneo yale na ugonjwa unapotea.
 
Nashukuru sana Mkuu wangu

Unaweza nisaidia faida za mfumo huo wa push to start???
 
Ebu tufanye comparison za differences:

Mwaka 2011
Millage 156,000 km
Rangi nyeusi
Bei $ 3,500 CIF
Airbag
Alloy wheels

FOG lights
Car navigation system
Anti lock brakes
Power window

Back monitor
Air conditioner
Power Steering

HID light
Real spoiler

VS

Mwaka 2009
Millage 112,000 km
Rangi Brown
Bei $ 4,000 CIF
Airbag
Alloy wheels
Car navigation system
Anti lock brakes
Power window
Air conditioner
Power Steering
Real spoiler

Push start

Tajiri, ilo gari la 2011 lilichomzidi wa 2009 ni mwaka, HID na Fog.

Wakati la 2009 faida yake ni low mileage na push to start.

Mimi kama unakaa Dar sikushauri gari jeusi, especially kama lina AC mbele tu seat za nyuma halina vents sikushauri aisee by experience. Pia rangi nyeusi ni nzuri sana 5 minutes baada ya kuosha gari tu, baada ya hapo ni hasara mwanzo mwisho.
 
Ebu tufanye comparison za differences:

Mwaka 2011
Millage 156,000 km
Rangi nyeusi
Bei $ 3,500 CIF
Airbag
Alloy wheels

FOG lights
Car navigation system
Anti lock brakes
Power window

Back monitor
Air conditioner
Power Steering

HID light
Real spoiler

VS

Mwaka 2009
Millage 112,000 km
Rangi Brown
Bei $ 4,000 CIF
Airbag
Alloy wheels
Car navigation system
Anti lock brakes
Power window
Air conditioner
Power Steering
Real spoiler

Push start

Tajiri, ilo gari la 2011 lilichomzidi wa 2011 ni mwaka, HID na Fog.

Gari nyeusi dar lazima uive
 
Ill go for the second one with push to start option!!
Ingawa huwa zinasumbua sana ku start zikiwa maeneo ya kilwa road hasa Tazara sijui ni kwa nn, nimeshuhusia kama gari nne zikifanya hivo ila zikitoka maeneo yale na ugonjwa unapotea.
Aisee mitaa ya tazara patakuwa kuna mitambo Fulani ya kijasusi.
Gari yangu huwa inakataa kulock milango Kwa njia ya remote mpaka nifunge Kwa kutumia funguo
 
Ebu tufanye comparison za differences:

Mwaka 2011
Millage 156,000 km
Rangi nyeusi
Bei $ 3,500 CIF
Airbag
Alloy wheels

FOG lights
Car navigation system
Anti lock brakes
Power window

Back monitor
Air conditioner
Power Steering

HID light
Real spoiler

VS

Mwaka 2009
Millage 112,000 km
Rangi Brown
Bei $ 4,000 CIF
Airbag
Alloy wheels
Car navigation system
Anti lock brakes
Power window
Air conditioner
Power Steering
Real spoiler

Push start

Tajiri, ilo gari la 2011 lilichomzidi wa 2011 ni mwaka, HID na Fog.

Wakati la 2009 faida yake ni low mileage na push to start.

Mimi kama unakaa Dar sikushauri gari jeusi, especially kama lina AC mbele tu seat za nyuma halina vents sikushauri aisee by experience. Pia rangi nyeusi ni nzuri sana 5 minutes baada ya kuosha gari tu, baada ya hapo ni hasara mwanzo mwisho.
Fundi wangu wa rangi alishawahi kunishauri juu ya rangi nyeusi alafu ni kitambo Sana hiyo na Toka siku Ile siwezi kununua gari ya rangi nyeusi hapa DAR.
Rangi nyeusi ni majanga Sana hasa Kwa mikoa yenye joto Kali
 
Back
Top Bottom