Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,383
- 12,577
Chief nikiwasha data tu hata nikirumia kwa dk 5 la Zima screen ipate joto kali na chaji inapungua kiajabuajabu tu lakini nisipotumia data naweza kukaa na chaji hata siku 3Adui mkubwa wa battery ni joto mkuu, hio chaja haifanyi simu ipate joto sana unapoichaji?
Kama utapata chaja ya s7 edge yenyewe ni bora zaidi. Cheki online kwa watu wanaochomoa kwenye maboxi.