Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,279
- 44,416
Hata hizo fast charger zinatofautiana inabidi iwe ni ya samsung inayoutumia soc yako, zipo za exynos na snapdragon.Ngoja kesho nikatafute Fast charger nisipoona mabadiliko basic nitajua nitatizo la betri la simu
Ni tatizo gani la betri?