Naomba msaada wa error kwenye pc

Naomba msaada wa error kwenye pc

Audi S8

Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
69
Reaction score
106
Leo nimewasha pc yangu inanipa maelezo "Intel anti-theft system detected" nimeambatanisha na picha hapo chini naomba msaada kama anayejua user password au jinsi ya kutatua hili tatizo
062b2f55d4b69f3f5614592a214586b1.jpg
782c2161ff9b5677d68f824756eb8a80.jpg
 
Hiyo PC uliitoa wapi? Ilikuwa na (Dell) Intel anti-theft sasa imekuwa activated, kama hauna hiyo password ndo basi tena, kutegemea na jinsi ilivyokuwa setup labda unaweza kuhamisha hard drive kwenye PC nyingine lakini hiyo harddrive inaweza ikawa encrypted so haitasomeka kokote tena.
Kama ni ya wizi mrudishie mwenyewe tu 😉
 
na intel ant theft ipo ndani ya cpu kama sijakosea hivyo kubadili cpu pengine kukakuhusu.
 
na intel ant theft ipo ndani ya cpu kama sijakosea hivyo kubadili cpu pengine kukakuhusu.
Habarii mkuu nataka kuchukua laptop yenye Cpu hii je itanifaa kwa Shughuli za kishule??? Speed na uwezo wake
IMG-20190221-WA0003.jpg


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Pia kuna hii
IMG-20190220-WA0050.jpg

Ni Duo core inauzwa 520k vipi nayo inafaa

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Hii ni i3 1st gen, inafaa kibishi kibishi ila sio nzuri kivile.

Bado hujainunua? Ni kiasi gani?
Chief.............. Natumia Fake charger kuchaji simu ya Samsung Galaxy s7 edge inaweza kuleta madhara kwenye Betti
 
Duo core unamaanisha core 2 duo? Nayo pia haifai unaongelea pc ya miaka 10 iliopita ama zaidi.
Mkuu kuna hii ni Lenovo IP 130
Ina AMD Dual core
4GB Ram 500HDD
Tsh 559000
Warranty 1yr 32GB flash drive bure
Je itafaa au nayo ninapigwa mkuu

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Hahaaaaa mkuu na hela zenyeewe hizi za kuomba omba daah..
Niasaidie mkuu niipatate yoyote..Please

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Simaanishi hela mkuu, hela hio hio ila unapata iliyo bora zaidi, gen angalau 4 kupanda juu.

Kariakoo sasa hivi gen ya 4 ni around 400k mpaka 500k
 
Simaanishi hela mkuu, hela hio hio ila unapata iliyo bora zaidi, gen angalau 4 kupanda juu.

Kariakoo sasa hivi gen ya 4 ni around 400k mpaka 500k
Sipo dar and nahitaji mno mkuu..

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Mkuu Kuna utofauti ambao nauona kwenye upande wa chaji ambao mwanzo haukuwepo nilipokuwa natumia Original charger
Original charger ni fast charging unaweza ukatumia chaja nyengine ikachaji taratibu lakini haimaanishi hio chaja ni feki,

Zipo chaja tofauti tofauti.
 
Mkuu kuna hii ni Lenovo IP 130
Ina AMD Dual core
4GB Ram 500HDD
Tsh 559000
Warranty 1yr 32GB flash drive bure
Je itafaa au nayo ninapigwa mkuu

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Amd gani? Kama sio hizi mpya pia achana nayo.
 
Original charger ni fast charging unaweza ukatumia chaja nyengine ikachaji taratibu lakini haimaanishi hio chaja ni feki,

Zipo chaja tofauti tofauti.
Ngoja kesho nikatafute Fast charger nisipoona mabadiliko basic nitajua nitatizo la betri la simu
 
Back
Top Bottom