Pole kwa changamoto subiri waje wataalamMimi nimelazwa regency hospital wiki ya pili sasa nina shida ya kifua sasa oxygen kilasiku inashuka nimewekewa oxygen lakini still inashuka leo imefika 68 naombeni msaada nipewe rufaa mloganzila maana naona hapa sipati huduma nzuri sina mtu wa kunisaidia kutoka hapa ninatumia bima ya nhif ya mfanyakazi naombeni mnisaisie 0764214031
Mimi nimelazwa regency hospital wiki ya pili sasa nina shida ya kifua sasa oxygen kilasiku inashuka nimewekewa oxygen lakini still inashuka leo imefika 68 naombeni msaada nipewe rufaa mloganzila maana naona hapa sipati huduma nzuri sina mtu wa kunisaidia kutoka hapa ninatumia bima ya nhif ya mfanyakazi naombeni mnisaisie 0764214031
Je mloganzila ni mpaka nipewe rufaa au naweza kwenda tu direct nikalazwaHapo madktari wanasemaje?kwamba unatatizo lipi? je hiyo hali wao wanaionaje?
Si uombe kuondoka hapo.waambie hao regwncy kwamba wakupe ruhusa..maana hapo wameshashindwa kukutibu full stop
Halafu hiz private hosp sometimes wanajali sana maslahi yao zaidi kuliko uhai.wanaona kabisa wameshindwa jambo bado wanaendelea kukaa na wewe ili tuu waendelee kukomba hela za kwenye bima
unaendaje mloganzila badala ya jakaya kikwete taasisi moyoJe mloganzila ni mpaka nipewe rufaa au naweza kwenda tu direct nikalazwa
Kwa nini wewe unataka kwenda mlonganzila?Je mloganzila ni mpaka nipewe rufaa au naweza kwenda tu direct nikalazwa
mkuu private na bima ya Afya nhif wapi na wapi huko wasikiage keshHapo madktari wanasemaje?kwamba unatatizo lipi? je hiyo hali wao wanaionaje?
Si uombe kuondoka hapo.waambie hao regwncy kwamba wakupe ruhusa..maana hapo wameshashindwa kukutibu full stop
Halafu hiz private hosp sometimes wanajali sana maslahi yao zaidi kuliko uhai.wanaona kabisa wameshindwa jambo bado wanaendelea kukaa na wewe ili tuu waendelee kukomba hela za kwenye bima
Nimeweka no yngu hapo mm natka nitolewe hapa regency 0764214031 mm niko wodini shida yangu nataka nipewe rufaa niende hospitali nyingine ninatumia bima ya nhifmsaada upi madam wa mchango?, kama ni ndio njoo na I'd yako ya zamani ita saidia Sana.
Ni ya 2014, au nimeona vibayamsaada upi madam wa mchango?, kama ni ndio njoo na I'd yako ya zamani ita saidia Sana.
ID yake ya 2014 unaona siyo ya zamani?msaada upi madam wa mchango?, kama ni ndio njoo na I'd yako ya zamani ita saidia Sana.
Naam, mazoeaID yake ya 2014 unaona siyo ya zamani?
Na je siku hizi mtu anasaidiwa endapo tu ana ID ya zamani? Haya ni maajabu
Since 2014 ina reaction score ya 64?, yaani haja comment au kuliko miaka yote hiyo!Ni ya 2014, au nimeona vibaya
Wengine ni wasomajiSince 2014 ina reaction score ya 64?, yaani haja comment au kuliko miaka yote hiyo!