bless on
JF-Expert Member
- May 22, 2026
- 684
- 1,584
Wachawi hawana maana wanakuroga na biblia yako pembenišKama umeokoka usiwe na wasiwasi ya nguvu za giza
Wachawi hawana maana wanakuroga na biblia yako pembenišKama umeokoka usiwe na wasiwasi ya nguvu za giza
Babe haya mambo yanazungumzika.Acha masihara tuje kwenye uhasilia hatujuani tunataniaga tu siku ziende nilikuwa napenda sana kampani yako sana why inanisaidia kusonga mbele hata ukiwa na mawazo mengi .
Juzi kati sasa nilipatwa na shida kaka yangu alipata shida . Just imagine ungekuwa mpenzi kweli.
Ulikaa kimya yaani wote humu hawakuwa na msaada hadi nawewe hii ili niuma sana .
Ndioo maana sioni hata umuhimu wakutaniania nawe .
Unaringaga sijui unanini speshoo
Unaogopaje uchawi ukiwa umeokokaWadau wa jf naare??
Sasa mimi napenda sana pangani , ila nasikia pangani uwizard umezidi sana,..
Lengo langu la hii post nilikuwa naombeni jamani mtu serious sana tukiacha watani wa humu,,nilikuwa namtafuta mtu mwenyeweji wa kule anipe ushirikiano mzuri wa kuifahamu pangani na sehemu zake.
Siendi kuloga hapana nimeokoka kitamboo.
Asanteni
Nisaidie contact huna pita kuleUnaogopaje uchawi ukiwa umeokoka
Anayepaswa kuogopwa anaogopa
Wewe utakuwa umeohopa na siyo kuokoka
TangaKuna Pangani Tanga na Pangani Kibaha unataka kujua Pangani ya wapi?
Njoo PMWadau wa jf naare??
Sasa mimi napenda sana pangani , ila nasikia pangani uwizard umezidi sana,..
Lengo langu la hii post nilikuwa naombeni jamani mtu serious sana tukiacha watani wa humu,,nilikuwa namtafuta mtu mwenyeweji wa kule anipe ushirikiano mzuri wa kuifahamu pangani na sehemu zake.
Siendi kuloga hapana nimeokoka kitamboo.
Asanteni
Nimekuja haupoNjoo PM
NImekuja sikuoniNjoo PM
šššNImekuja sikuoni
Sawa sawa kila lakheri wenye kupafahamu watakusaidia.Tanga
Hadi Tate mkuu unapenda vipochi manyoya?Kila la heri honey š