Naomba msaada nauli ya Namibia

lukala

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
580
568
Habari wanabodi naomba msaada ,mwenye kujua gharama ya usafiri kuelekea Namibia anielekeze
 
Kwa ndege au kwa bus? Kama ni kwa bus, unapanda bus mpaka tunduma tsh 40000 then itabidi ulale maaana utafika tdm saa nne usiku, usiku huo huo gonga passport cause border ni 24hrs, halafu asbh unapanda bus la ki zambia kwenda lusaka nauli yake ni roughly tsh 50000 which means usiku ule utaofika tdm u change kwacha, lusaka utafika saa sita usiku kama ni msafir usichukue lodge lusaka utalala hapo hapo stand yao ya bus inter city its much better than our ubungo, then kesho yake alfajir unapanda bus kwenda sesheke hiyo iko border ya zambia na namibia ni mwendo wa siku nzima naul mpaka kule border ni roughly tsh 40000 you will pass by livingstone then you go sesheke, hapo utalala asbh unakula vi tax ni kama buku mbili mpaka border, sasa sijui unaenda namibia which side???
 
Japo mimi sio mtoa mada ila nina safari kama hiyo mwezi ujao, naomba muendelezo kwa uwa umesimama kuelezea kwa kutokujua mtoa mada anaelekea upande upi wa namibia,
Safari yangu ni ya walvis bay! !
Nasubiri
 
Panda taqwa au falcom kutokea Dsm hadi lusaka....nauli ina range 100000-130000.

Mkifika tunduma mtalala hapo hapo process za migration zitafanyika... unafika Lusaka.

Sasa sina hakika kama kuna mabus ya kutoka lusaka uende windhoek ila livingstone ndipo kuna makampuni mengi ya mabus ya kwenda bots,namibia na nchi nyingi za South africa.

Panda bus yapo mengi saana kutoka lusaka kwenda Livingstone... kisha livingstone direct to windhoek... ni kama 150000 ya bongo. Hapa utaenjoy view ya caprivi strip...

Walvis bay unakotaka kwenda kuna umbali kidogo kutoka windhoek maana ni karibu na atlantic.... best stop iwe windhoek.
Safari ni usiku.
Thanks japo sio mtoa mada ila umenisaidia pia,
Kwa ushauri wako.ni bora nikasafiri hadi livingstone ndo.nitafute connection za windhoek?
 
Ni njia rahisi ila kama kuna member anayejua rahisi zaidi na nayoijua atakuambia.

Kwanini nasema hii ni rahisi...
Utakata tiketi Dar... utasafiri hadi tunduma hapo mtasimama maana itakuwa usiku mtalala na process za migration zinafanyika hapo. Baada ya hapo mtaendelea na na safari kwenye usafiri uleule kwenda lusaka.. mtafika lusaka..hapa chukua local buses 30000tsh-35000tsh to livingstone

kwa uzoefu sidhani kama utapata kwa muda huo usafiri direct to windhoek ikitegemea u mgeni. Unakata tiketi kesho unaliunga to windhoek.

So gharama..
Dar to lusaka 120000
kula unajua mwenyewe
Lusaka to livingstone 35000
Livingstone utalala lodge 40000
Livingstone to windhoek 115000-150000
windhoek utafika asubuhi itakuwa ni faida kwako kwa popote unapotaka kwenda.
Ukiwa na 450000 unafika vizuri.
Ok asante sana mkuu, Naona ni kama wastani wa siku tatu kwenda huko kutoka Tunduma,
Umeshawahi kujua changamoto za kuendesha kutoka Namibia kuja Tanzania pia?b,nasikia kuna jangwa ni kweli?
 
Changamoto za kuendesha nitakudanganya maana sijawahi...

Kuhusu ujangwa... namibia kwa sehemu kubwa ni jangwa jangwa ukiwa unaiacha zambezi unaanza kukutana na ujangwa japo kwa kiasi kikubwa huku karibu na zambia...caprivi,rundu sio jangwa kama ilivyo kushuka mji wao mkuu windhoek upande wa bahari.

Kuna siku nilimsoma Stralis kwenye uzi anaendesha hiyo njia to Angola atakuwa na ufahamu zaidi.
Asante sana , ngoja nimtafute huyo stralis anipe mawili matatu,
 
Gabarone fika mpaka lusaka ,utapanda basi mpaka livingstone , hapo utapata mabasi mengi tu yanayo kwenda huko kupitia francis town, ni mwendo wa kutwa nzima kutoka livingstone
 
Japo mimi sio mtoa mada ila nina safari kama hiyo mwezi ujao, naomba muendelezo kwa uwa umesimama kuelezea kwa kutokujua mtoa mada anaelekea upande upi wa namibia,
Safari yangu ni ya walvis bay! !
Nasubiri
Naelekea kavanga
 
Back
Top Bottom