Naomba msaada na ushauri katika suala hili wana JamiiForums

Naomba msaada na ushauri katika suala hili wana JamiiForums

Mkuu! Usijali, kuingia kwenye hedhi yake inategemeana na mzunguko wake kama ni mrefu ama wa kawaida. Lakini pia kuchelewa kunatoka na hali na mazingira yake. Mkuu, ondoa hofu.
 
Kuna dogo fulani nilifanya nae sex tarehe 22 mwezi wa pili mwaka huu baada tu ya kutoka period,period yenyewe ilianza tarehe 18, sasa mpaka leo tarehe 20 bado hajaona siku zake, je atakuwa ana ujauzito?
Endelea tu kurutubisha mimba baba kijacho, hakuna namna!
Naona umeshajibiwa, jiandae kiuchumi.

Hanithi anakua baba sasa.

😂😂😆
giphy 25.GIF
 
Kwa maelezo yako uwezekano wa mimba ni mdogo sana yaani sana jaribu kumchunguza vizuri kama hakwenda kulala na mtu mwingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom