Vijana wakishakojoa ndo akili zinawarudiaInategemea na mzunguko wake...
Mkiwa mnakojolea ndani aah full shangwee
Baada ya hapo Sasa unahamia kwenye calculator
Hakuna mimbakaanza tarehe 18 kamaliza 21 nimechakata 22
Ooh kwahiyo ulimfungia mtoto wa watu ndani ukawa unachakata aysee kama ulichakata kuanzia 22-25 basi mbegu zikafika 26 hizo 27 zikatunga mimbafafanua tena mkuu maana si kwamba nilisex 22 na siku 3 zilizofuata mfululizo!
Eti 5000! Naona unamtia moyo😂 kijana Holoholo diaper ni kuanzia 40,000-70,000 dozen!Kutokana na changamoto ya uhaba wa maji, miaka ya nyuma, kulikuwa na kisima cha kijiji ambacho kila Mwanakijiji alikuwa anakwenda kujichotea maji ...
Kuwa makini na hilo Mkuu.....
Hongera kuwa Baba Kijacho, kwa mujibu wa bei ya soko, diapers inauzwa shilingi 500 kwa moja, ama shilingi 5,000 dozen
Anza kugoogle majina mazuri kwa watoto wa kiumekimeumanaaaaa
HahhahahaKwamba mgumba amepata mtoto anatema mate mji mzima😃
kwani kwa kawaida mwanamke anakaa siku ngapi toka kupata hedhi hadi hedhi nyengine?Ooh kwahiyo ulimfungia mtoto wa watu ndani ukawa unachakata aysee kama ulichakata kuanzia 22-25 basi mbegu zikafika 26 hizo 27 zikatunga mimba
Hongera bakija
Akiwa wa kike mwite Jane
Wazee wa kutupia mumo mumoInategemea na mzunguko wake...
Mkiwa mnakojolea ndani aah full shangwee
Baada ya hapo Sasa unahamia kwenye calculator
Mhh jf sasa mna zidisha ujinga, itakuwa za kumfungia mamba sasa.Eti 5000! Naona unamtia moyo😂 kijana Holoholo diaper ni kuanzia 40,000-70,000 dozen!
naomba unieleweshe kidogo hapa kuhusu mzunguko wa hedhi mkuu Sister AbigailInategemea na mzunguko wake...
Mkiwa mnakojolea ndani aah full shangwee
Baada ya hapo Sasa unahamia kwenye calculator