Naomba msaada na ushauri katika suala hili wana JamiiForums

Hapa Jf hautapata majibu yenye uhakika,Cha kufanya nenda naye hospital akacheki then utajua nini ufanye nje ya hapo ni kusadikika tu..Na ukimpa pesa akacheki peke yake anaweza akakupiga tukio la kukuambia ana ujauzito na hataki kuzaa kwa sasa so umpe pewa akatoe ukimpa umeliwa..
UNA UMRI GANI??
 
25
 
Back
Top Bottom