Naomba msaada kwa hili

kigori wa kilwa

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
483
149
Habari wanajamvini...
naomba msaada kwa hili ... hivi unaweza kujua unamimba ndani ya siku 13? Au nimewahi kupima?? Maana UPT unaniambia negative? Au nisubilie wiki ingine zaidi???

Naomba muongozo tafadharii
 
Uache kuloweka. Manake unaishia kuwa na wasiwasi kama fundi cherehani. Unafahamu dalili za HIV unaweza kuzitambua mwenyewe kuanzia siku 14 toka maambukizi? Jisomee uongeze maarifa
 
Uache kuloweka. Manake unaishia kuwa na wasiwasi kama fundi cherehani. Unafahamu dalili za HIV unaweza kuzitambua mwenyewe kuanzia siku 14 toka maambukizi? Jisomee uongeze maarifa
Sijaelewa unanipa ushauri ganii? ? Huo ukimwi na mimba vinahusiana nini??? Sio lazima ucomment unaweza ukapiga makofi usongeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom