Naweza kuinstall pes 2019

Naweza kuinstall pes 2019

super black Boy

Senior Member
Joined
Oct 15, 2019
Posts
135
Reaction score
169
Habarini wakuu ninatarajia kupokea PC yangu kesho Ila akilini mwangu nawaza sana burudani ya kucheza game kwa kutumia PC yangu hasa game ya football.

Sasa wakuu kwa mnaojua vizuri je kwa specification hizi hapa chini naweza kuweka PES 2019 lakini pia nataka kufahamu ikiwa nina setup ya PES 2017 na nataka kuiupdate iwe ya 2019 nipitie njia zipi??

maelezo yangu yamechanganyika lakini natumaini mmenielewa.
IMG-20191030-WA0001.jpeg
 
Here are the Pro Evolution Soccer 2019 System Requirements (Minimum)
  • CPU: Intel Core i5-3470 / AMD FX 4350.
  • 8gb of ram
  • OS: Windows 7 SP1/8.1/10 - 64bit.
  • VIDEO CARD: 2 GB NVIDIA GeForce GTX 670 / AMD Radeon HD 7870.
  • FREE DISK SPACE: 30 GB.
  • DEDICATED VIDEO RAM: 2 GB.
 
Back
Top Bottom