kwa aina ya maandishi yake sijui hata hiyo kazi ameipata vipi! napata shida hata kuelewa kama ni msomi wa ngazi ya chuo.Utafkiri anatuma sms bana!!
kwa aina ya maandishi yake sijui hata hiyo kazi ameipata vipi! napata shida hata kuelewa kama ni msomi wa ngazi ya chuo.Utafkiri anatuma sms bana!!
Vyuo vya kata vimetuharibia wadogo zetu sana. Wewe kama hujamaliza St John's basi itakuwa Arusha University.
kwa aina ya maandishi yake sijui hata hiyo kazi ameipata vipi! napata shida hata kuelewa kama ni msomi wa ngazi ya chuo.