Naomba msaada kwa mafundi wa Air condition za magari

mwambyetete

Senior Member
May 17, 2018
126
196
Habar wakuu mbali mbali,naomba msaada kwa mafundi wa Air condition za magari.

Jana wakati naendesha gar nilihisi kama ndani ya gari nnapowasha AC hakupatikan ubarid wa kutosha kama niliouzoea na nilipokuwa nikiigusa ile pipe inayopeleka ac ndan ya gari inakuwa ya moto hivo nikajua moja kwa moja gasi imepungua.

Wakati fundi akiongezea gasi kwenye gari akaniambia thermostater ya ac imekufa hivo compressor inafanya kaz mda wote.

Sasa baada ya kujaza gasi gari haimwagi maji yale yanayotoka kwenye pipe chini lakin pia baada ya kufunga hiyo thermostater ukiwasha ac wakati gar inatembea inatoa mlio kama mlio wa tractor japo kwa mda mfupi.

Naomben msaaada wa kutatua tatizo hilo! Gari ni aina ya premio hiz model ya kati na gar iko mkoani mbeya hapa mbeya mjin! Au kama kuna fund wa kuweza kutatua tatizo hili naomben msaada.

N.B ni gar ya kwanza kumiliki ko tatizo dogo nataka nilitatue.
 
Habar wakuu mbali mbali,naomba msaada kwa mafundi wa Air condition za magari.

Jana wakati naendesha gar nilihisi kama ndani ya gari nnapowasha AC hakupatikan ubarid wa kutosha kama niliouzoea na nilipokuwa nikiigusa ile pipe inayopeleka ac ndan ya gari inakuwa ya moto hivo nikajua moja kwa moja gasi imepungua...
Nilipata changamoto hii wiki kadhaa zilizopita. Nikampata fundi, nilipomueleza hali ilivyo, akasema kuna chujio fulani lipo chini krb na rejeta ambapo gesi inapita na kuchujwa, litakuwa limechafuka.

Akafungua na kukuta kweli lile chujio chafu. Lilikuwa linasababisha compressor itumie nguvu nyingi hadi inafeli. Tukaweka chujio jipya, oil mpya ya compressor, na kujaza gesi tena. Hadi leo iko poa.
 
Yuko wapi huyo fundi?
 
Back
Top Bottom